MY SECRET DIARY (2)
JINA: MY SECRET DIARY Mwandishi: Michael Mejah SEHEMU YA PILI ILIPOISHIA... Jamani huyu dadie kiwembe hatari na anahonga nyumba tu yeye na material anayoyachukua ni vitoto vya chuo kama pale st.augustino sasa kuna kadada kaitwa merry amemjengea nyumba nyamagana pale siku hyo tulitoka dukani kununua gypsum NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Gypsum powder na ndoo za rangi nisijue tunapeleka wapi naona tunaenda tu mpaka nyamagana kwa mama antony hapa nyuma. Geti ilo likafunguliwa na mdada mrefu hatari yani ye dadie anamfikia begani kidogo mie angalau namkaribia. Mtoto anadeka kweli mwenzangu mie nachora ramani maana najua siku moja ntakuja peke yangu. Wakati naingiza rangi na gypsum stoo nilipata fursa ya kuongea na mamdogo rebecca(mchepuko wa mzee) kijana nina maneno sijisifu ila mpaka namba yake akanipa ya whatsup , unajua mzee ananiamini kuliko na hajui kama mwanae nimekua nikatoka na kumuacha mamdogo akitamani kuongea na mimi maana nina stori hatari il…