MY SECRET DIARY (7)

Zephiline F Ezekiel
MY SECRET DIARY (7)
JINA: MY SECRET DIARY Mwandishi: Michael Mejah SEHEMU YA SABA ILIPOISHIA... Nilikaa kwenye kitanda changu na kuvuta beg uvunguni nikatoa diary na kurekodi lile tukio mpaka nilivyopata ule ugonjwa wakati huo room members wenzangu walienda prepo na mimi nilipitiwa na usingizi huku diary ikiwa kifuani NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Kumbe jamaa walirejea kutoka prepo wakaichukua na kuanza kuisoma wakati huo nilishtuka muda wa kunywa dawa utakuwa umefika niliwakuta wakisoma diary yangu daaa nilikurupuka na kuwapokonya ile diary kila mtu alinishangaa kwa matukio niliyoyafanya na kuanza kunipa ushauri kuwa niokoke maana room nzima wote walikuwa walokole sasa pale nikawa najifikiria mengi ina maana nikiokoka mademu tena basi. Na princes nimempangia mambo mengi kweli lakini nitafanyaje ngoja nijisalimishe kwa mungu. Niliokoka from that moment na mimi nikawa naamka maombi ya saa kumi japokuwa hapo mwanzo nilikuwa naona kama wanapiga kelele lakini rose muhando …