MY SECRET DIARY (8)

Zephiline F Ezekiel
MY SECRET DIARY (8)
JINA: MY SECRET DIARY Mwandishi: Michael Mejah SEHEMU YA NANE ILIPOISHIA... "Mimi nina funguo zangu nimefika hapa nikakuta mlango umefungwa na mimi ninaharisha ndo nikaingia ndani nilikuwa nimejifungia hapa kwasababu ningejinyea ingekuwa aibu" "wewe unanidanganya, unajua wenzio wamekutafuta sana na wameondoka muda mrefu na sasa hivi na saa moja usiku" NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... "Mamaa weee mbona msala matron nisaidie unajua kule tumeondoka kwa kuandikwa majina na kurudi ni hivyo hivyo, nisaidie matron nakuomba" "wewe muongo unajua wenzio wameondoka zamani sana na wamekutafuta sana na sasa hivi ni saa moja usiku" "mamaaaa matroni nisaidie nitafanyaje mimi nitafukuzwa shule matron nisaidie maana kule shule ukiondoka unaandika jina na ukirudi pia mimi itakuwaje matroni?" "hakuna jinsi ni kuwajulisha shuleni kwenu kuwa uwezidiwa na bado upo huku kama wanaweza waje wakufate" "sawa matroni n…