MY SECRET DIARY (9)

Zephiline F Ezekiel
MY SECRET DIARY (9)
JINA: MY SECRET DIARY Mwandishi: Michael Mejah SEHEMU YA TISA ILIPOISHIA... Mama alizuka kila kona kuangalia uwezekano wa kuchangiwa damu bila mafanikio, alikodi vijana wawakamate watu walionekana kuranda randa mtaani waje wapime damu kama ikiwezekana ikiwa salama wanichangie lakini hadi watano hapakupatikana hata mmoja. Hali ilizidi kuwa mbaya zaidi nikawekwa kwenye life support machine na ili hali mama ameficha siri nzito katika # secret_diary. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... WHO ONE CAN SAVE MY LIFE? SONGA MBELE.. Hapo paliitajika kudra za mwenyezi mungu kupona, nilikumbuka niliwahi kuchangia damu salama mara mbili nikiwa shule nilikuwa na card yangu kwenye kabati alipokuja dada mary mtoto wa mjomba nikamuandikia kwenye kikaratasi "nenda chumbani kwangu fungua kabati tafuta kadi ya uchangiaji damu salama ilete dada yangu huu ndo msahada wako wa mwis" nilishindwa kumalizia kutokana na hali kuzidi kuwa mbaya kuna kipindi nilikuwa napoteza fa…