POLEPOLE MPENZI (11)

Zephiline F Ezekiel
POLEPOLE MPENZI (11)
JINA: POLEPOLE MPENZI Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA KUMI NA MOJA ILIPOISHIA... Sele na Monika wakiwa ndani walianza kuhangaika huku kila mmoja akionyesha kuchanganyikiwa na jambo hilo,,,Monika ndiye alikuwa amechanganyikiwa zaidi kwani angekitetea nini muda kama huo kuwepo kwenye chumba cha mwanaume tena na gauni nyepesi ya kulalia,,,kwa wazo la haraka aliingia chini ya uvungu wa kitanda,,, NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Sele alihakikisha Monika amezama kabisa ndani ya uvungu wa kitanda ndipo naye akajiweka sawa huku akiigiza kama mtu aliyetoka usingizini muda si mrefu Kwa hatua za taratibu,alijisogeza na kufungua mlango,,, shikamooni baba na mama,,alisalimia Sele huku akionekana wazi anaigiza kutoka kuamka,,,kwanini umechelewa kufungua mlango wakati muda wote ulikuwa macho,,,?,aliuliza hivyo mama Monika bila hata kuitikia salamu yake,,,,Hapana mama nilikuwa nimelala,,,acha uwongo kijana wewe!,ina maana watu siku hizi wanaota wanafanya mapenzi n…