POLEPOLE MPENZI (11)
Zephiline F Ezekiel
5 min read
SEHEMU YA KUMI NA MOJA
ILIPOISHIA...
Sele na Monika wakiwa ndani walianza kuhangaika huku kila mmoja akionyesha kuchanganyikiwa na jambo hilo,,,Monika ndiye alikuwa amechanganyikiwa zaidi kwani angekitetea nini muda kama huo kuwepo kwenye chumba cha mwanaume tena na gauni nyepesi ya kulalia,,,kwa wazo la haraka aliingia chini ya uvungu wa kitanda,,,NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU
SASA ENDELEA...
Sele alihakikisha Monika amezama kabisa ndani ya uvungu wa kitanda ndipo naye akajiweka sawa huku akiigiza kama mtu aliyetoka usingizini muda si mrefu
Kwa hatua za taratibu,alijisogeza na kufungua mlango,,,shikamooni baba na mama,,alisalimia Sele huku akionekana wazi anaigiza kutoka kuamka,,,kwanini umechelewa kufungua mlango wakati muda wote ulikuwa macho,,,?,aliuliza hivyo mama Monika bila hata kuitikia salamu yake,,,,Hapana mama nilikuwa nimelala,,,acha uwongo kijana wewe!,ina maana watu siku hizi wanaota wanafanya mapenzi na anayefanya naye anasikika sauti kabisa?,,,kwa ukali alihoji baba Monika swali ambalo lilikuwa gumu kwa Sele kulijibu,,,
Kigugumizi cha Sele kusita kujibu swali hilo kilipelekea moja kwa moja baba Monika kuwa na uhakika kuwa Sele alikuwa anafanya mapenzi na mwanamke,,,alimsukumia kwa ndani kisha baba Monika akiwa na mkewe walingia pia,,,huyu mshenzi mwenziye atakuwa amejificha wapi?,,,aliuliza baba Monika huku akianza msako humo ndani ya chumba,,,yaani mwanangu Sele mbona unatutia aibu hivi,hakuwahi kuwa kijana mbaya,nani amekufundisha ukosefu wa adabu kiasi hiki?,,kwa sauti ya upole mama Monika alimuuliza Sele kijana ambaye hakuwa na tabia za kujihusisha na wanawake,Sele baada ya swali hilo alijisikia vibaya mpaka mchozi ukawa unataka kumtoka,,
Kitanda alichokuwa analalia Sele kwa mbao zake za pembenizilishuka mpaka chini sakafuni huku zikiacha uwazi mdogo ambapo hata ukiulaza mguu hauwezi kupita,,,wazazi wa Monika hawakuwa na wazo la kutafuta chini ya uvungu wa kitanda,walikagua kwenye kabati,bafuni na chooni,,,Sele ni kweli ulikuwa unaota?,,,ndiyo baba,,alijibu hivyo Sele baada ya kuuliza na baba Monika,,,,mume wangu ni kweli ile ni ndoto?,,,aliuliza swali hilo mama Monika kwa kutulia shaka jibu la Sele,,Hapana huyu ni mwongo,,,alijibu hivyo baba Monika huku akiendelea kufunua mpaka mabegi ya nguo na maboksi ya vitabu vya Sele
Wakiwa wanaendelea na msako,ghafla wakashtuliwa na chafya iliyopigwa na Monika akiwa chini ya uvungu wa kitanda,,,iiiighchyaaaa!,,koh!,koh!,,iiiighchyaaaa!,,,tena kwa sauti iliyojirudia,,,mama Monika sio mwanao huyo?,,ona sasa aibu gani hii,amefanya mapenzi na mdogo wake?,,,kweli?,,ngoja niwaache we mwanao,,,baba Monika alitoka nje na kwenda kuketi sebuleni baada ya kuhakikisha kuwa aliyekuwa anafanya mapenzi na Sele ni Monika,,,embu toka huko mshenzi wewe!,,aliongea mama Monika ambapo kwa kusaidiana na Sele walikinyanyua kitanda kisha Monika akatoka,,,kwa aibu hakuweza hata kumtazama mama yake,aliobaki akishikwa na kwikwi kwa ajili ya kulia,,,njoo huku,,alimshika mkono na kwenda naye mpaka chumbani kwa Monika na kumkalisha kitandani,,,hivi we mtoto una pepo?,,umeshindwa kwenda mbali kutafuta vijana wakubwa wenzio mpaka uende kwa mtoto kweli?,,,Monika mwanangu una akili sawasawa wewe?,,,mbona unaniahibisha hivyo?,,ukiolewa utadumu kwenye ndoa yako kweli?,,,lakini Monika umepatwa na nini mtoto wewe?,,
Maswali hayo mfululizo yaliyoulizwa na mama Monika hayakupatiwa majibu,badala yake Monika alibakia akiinamia chini huku akilia,,,,umefumwa na baba yako mzazi?,,mwanangu Hapana,kwanini?,,,mama Monika aliendelea kuuliza maswali mpaka akawa anataka kulia yeye mwenyewe,,japo aliyefanya kitendo hicho ni mwanaye lakini mpaka yeye aliumia kama mzazi
Kwa upande wa baba Monika aliinuka kwa jazba,hasira zilimjia kifuani,akataka kwenda kumteremshia mkong’oto,kwa hatua za haraka akawa anaelekea kwenye chumba cha Sele,,,baba Monika!,,baba Monika!,,baba Monika si nakuita!,,,alikuwa ni mama Monika akimwita mumewe,,,njoo kwanza mume wangu,punguza jazba,nakuomba unisikilize japo dakika kadhaa kama mkeo unaniheshimu,,baba Monika alijikuta akijirudi na kumsikiliza mkewe,alirejea sebuleni na kuketi kisha mama Monika akaja kwa pembeni yake na kuketi pia,,
,,,,mume wangu,nashukuru kwa kunisikiliza,najua una hasira kwasababu unampenda mwanao Monika,ila jua kwenye hili suala Mwanetu ndio ana makosa,,,ilikuwaje mpaka amfuate Sele chumbani kwake?,,,yawezekana alijipeleka mwenyewe Monika kisha Sele akashindwa kumzuia,nakwambia hivyo kwasababu Sele nipo naye muda mrefu sana,namjua vizuri sio mtu wa wanawake,na alikuwa akimheshimu sana Monika,asingeweza kumtongoza na kufikia hatua hii,sasa ukimpiga Sele lazima atawaza kuondoka hapa nyumbani kwa kuhisi tunamwonea,ukizingatia hana wazazi,ukimpiga utamkumbusha huzuni ambayo kwasasa alishaisahau,,tendo la kumfuma ni fundisho tosha kwa mtu mwenye akili kama Sele,,,maelezo hayo ya mama Monika yalisikilizwa vyema na mumewe ambaye aliishusha jazba yake na kuwa kawaida,,
Kwa pamoja waliona wasichukue maamuzi yeyote juu ya Sele na Monika,walishauriana kisha wakienda kulala,lakini kwa upande wa Monika alijikuta akishindwa kujizuia kulia,alijisikia aibu sana,kweli hamu ni mwanaharamu,wakati wanafanya mapenzi walilia kimahaba kwa sauti kubwa kama kwenye nyumba waliachwa wao peke yao,na hichi ndicho kitu kilichowafanya wazazi wake kuja kumgongea mlango Sele,,
Baada ya Adrian kutomwelewa Nelson kwa kitendo cha kumchukia mama yake,,hakuwa na raha kwasababu alipenda sana kuishi na mdogo wake kwa amani,hakuchoka kumfuatilia ili kujua sababu inayomfanya kumchukia kiasi hicho,,,kwa kumbeleza sana alikubali kuonana naye kwenye fukwe moja iliyojengwa vizuri ambapo iliunganishwa na Hotel kubwa ya kifahari,,siku hiyo Adrian hakutaka kabisa kumgusia suala la mama yao,akili ya haraka ikamjia kichwani ambapo alichukua simu yake na kufungua faili lililokuwa na picha nyingi za Suzan ila chache za kwake,,akazifungua picha hizo kisha akampa simu Nelson,,,embu nitazame kaka yako nikiwa katika pozi hapo,,,aliongea maneno hayo huku akimkabidhi simu Nelson,,,ha ha haa!,kumbe na wewe ni mtu wa mauzo?,,,alicheka na kujibu hivyo Nelson huku akipokea na kuanza kuzitazama picha hizo,,
Picha sita za mwanzoni zilikuwa za Adrian ila zilizofuata zote kama arobaini zilikuwa ni za Suzan,,,macho ya Adrian yalikuwa makini kumwangalia Nelson machoni kwake pindi atakapoiona picha ya Suzan kwasababu aliamini ukweli wa mtu kuhusu jambo Fulani uko machoni pake,,
Mara Nelson alipoifikia picha ya Suzan,sura yake ilibadilika kidogo ambapo aliganda akilitolea macho bila kuendelea kuangalia zingine,,,unajua mi napenda sana picha na nina wafanyakazi wangu wengi ambao picha zao nao zipo humo,,,aliongea hivyo Adrian huku akimzuga Nelson kuona nini atazungumza kuhusu hiyo picha
,,,lakini kaka,huyu mwanamke hapa anaitwa nani?,,samahani lakini
,,,bikla samahani,anaitwa Suzan,ni mfanyakazi mwenzangu huyo,vipi umemzimia nini?,,
,,,Suzan!,,
,,,ndiyo,mbona umeshtuka?,unamjua?,,,
,,,nitampata wapi huyu?,yaani siku nikionana naye naweza hata kupata dhambi ya kuua,,,
,,,mmh,kwanini unasema hivyo?,,,
,,,ni historia ndefu kidogo,lakini alikuwa ni mpenzi wangu,,,,
,,,mlishawahi kufanya mapenzi?,,
,,,ndiyo!,mara nyingi tu,lakini kitu alichokuja kunifanyia yeye na rafii yake siku nikiwatia mikononi mwangu watanitambua,,,
Adrian alichoka kabisa kuanzia mwili roho na akili,hapo ndipo alipoyaamini maneno ya Monika kuwa ni ya kweli tupu,imani yake juu ya Suzan ndio ilikufa kabisa,,,kumbe Suzan alikuwa anatoka kimapenzi na mtu mwingine zaidi yangu?,,tena mdogo wangu kabisa?,,jamani aibu hii nitaipeleka wapi?,,,kaka mbona unawaza sana?,,
Ndio shemeji nini?,,swali hilo la Nelson lilimshtua Adrian ambaye alitawaliwa na mawazo ghafla kichwani mwake,,,,Itaendelea
Kwa wanawake;laiti kama ungekuwa ndio Suzan ungeamua nini?,,pia kwa wanaume;JE ungekuwa ndio Adrian ungeamua nini ?,,nawatakia usiku mwema
Kwa upande wa Suzan hakuweza kuamua chochote kwasababu alikuwa ni mkosaji sana,mbali na kuharibu kwa Adrian pia alihofia hasira ya Nelson juu yake,Suzan aliingiwa na uwoga mpaka safari zake za kutoka kufanya matembezi au hata manunuzi alihakikisha anakwenda na walinzi wawili,,
Kwa upande wake Adrian halikuwa jambo la kawaida kuvulia kujua ukweli kuwa Suzan alishamsaliti bila yeye kujua,,,pindi alipoachana na Nelson alielekea nyumbani kwake ambapo alilia kama mtoto mdogo,kitu asichopinga katika maisha yake,ni kwamba alimpenda kweli Suzan
Mara Nelson aliporudi nyumbani kwake,,alipigwa na butwaa kumkuta Eliet Sebuleni,tena alijiachia kwenye makochi kama mama mwenye nyumba kwa raha zake akiangalia televisheni,,,karibu baba yangu jamani,pole na uchovu,,aliongea hivyo Eliet huku tayari akiwa ameshawasili kwenye mwili wa Nelson na kumkumbatia kisha kumzawadia mabusu moto moto yaliyomfanya Nelson kutabasamu,,,
,,,Eliet umenishtua ujue!,sijategemea kukukuta hapa,,,baada ya kuketi wote kwenye kochi moja aliongea hivyo Nelson
,,,,nalijua tu utashtuka,lakini nimeshakupikia na kukuandalia maji ya kuoga,,,
,,,,mmh,mwanamke wewe utaniua jamani,,,
,,,,hufi bwana,unastahili kufanyiwa hivi kwasababu ya kazi nzuri kitandani,,,
,,,,lakini Eliet,ujue sisi ni binadamu,hiki tunachokifanya sio vyema,kwanini usibaki kwa mumeo ili kuniepushia matatizo?,,
,,,,Nelson ndio maneno gani hayo ya kuongea mbele yangu,inaonekana najipendekeza kwako?,,,
,,,,Hapana Eliet,sio kwamba unajipendekeza,iko siku mimi nitakuja kuoa wewe utaenda wapi?,,
,,,,we achana na hilo bwana,mi mwenyewe sipendi kufanya hivi,lakini nilishakwambia kuwa yule bwana haelekezeki ni mbishi hatari,sasa hapo nifanyeje?,ndio maana nakuja kwako
,,,,,sawa,mi nakupa tu kadri unavyotaka,,,
Kufuatia kauli hiyo Eliet alikwenda jikoni na kuandaa chakula ambapo kabla ya kula Nelson alishauriwa kwenda kuoga,,,alipomaliza kuoga alirejea mezani ambapo kwa sasa alivalia mavazi mepesi,bukta laini na pensi iliyomwishia magotini,kwa upande wake Eliet ili kuvutia alichokifuata alijivika upande wa mmoja wa khanga,kitendo kilichosababisha maungo yake ya mvuto ya ndani kuonekana laivu
Waliketi kwa kuangaliana huku wakilishana kwa mahaba,kuna muda walianza kukonyezana huku Eliet akionyesha maujanja yake ya kutoa ulimi nje na kuurudisha,,,kweli sura ya mwanamke ni silaha tosha ya kummaliza mwanaume kama ikitumiwa vizuri,,, Eliet aliendelea na mzhezo wake ambapo zoezi la kula lilisitishwa kwa wote wawili, vilisikika vijiko tu vikigonga sahani,
Eliet aliyalegeza macho yake yaliyokuwa na nakshi ya kupendeza hata kama hayajapakwa wanja, midomo yake mipana aliipanua na kuilegeza kana kwamba ameingizwa mtalimbo huku ulimi wake akiutoa nje na kuurudisha kimahaba,,
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE NAOMBA TAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA YA KUKUSOGEZEA SIMULIZI
KWA USHAURI NA MAONI ANDIKA HAPA:
Inbox: Messanger
Email: ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni