POLEPOLE MPENZI (20)
JINA: POLEPOLE MPENZI Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA ISHIRINI ILIPOISHIA... Pindi alipomkumbatia, alishangaa kumwona Askari Polisi akiwa mbele yake mbali kidogo na walipokumbatiana,,Kigoso ilibidi ajikaze huku akitraka kujitoa kwenye mwili wa Irene,lakini alishangaa kuona Irene hamwachii,mikono yake aliikaza hasa kiasi kwamba Kigoso pamoja na kuwa mwanaume alishindwa kujitoa NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... ,,,tulia hivyo hivyo,ukikukuruka nitamruhusu huyo Askari uliyemwona akufyatulie Risasi,usiongee chochote wala usionyeshe uwoga wowote,,,aliongea hivyo Irene kwa sauti ya chini ya ukali iliyokakamaa kama mtu anayeongea huku amebana meno yake,,Kigoso alitulia kimya kama maji yakiwa mtungini,,Juma pamoja na Zungu ndio walibaki wakimsubiri Kigoso amlete Irene kisha wampige mtungo,hawakujua kama tayari Kigoso yuko katika hali tete,,, ,,,oya,,!oya,,!,,unamwona Kigoso mambo yake,anataka akapige mwenyewe,,aliongea hivyo Zungu baada ya kuona gari aina y…