POLEPOLE MPENZI (20)
Zephiline F Ezekiel
5 min read
SEHEMU YA ISHIRINI
ILIPOISHIA...
Pindi alipomkumbatia, alishangaa kumwona Askari Polisi akiwa mbele yake mbali kidogo na walipokumbatiana,,Kigoso ilibidi ajikaze huku akitraka kujitoa kwenye mwili wa Irene,lakini alishangaa kuona Irene hamwachii,mikono yake aliikaza hasa kiasi kwamba Kigoso pamoja na kuwa mwanaume alishindwa kujitoaNIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU
SASA ENDELEA...
,,,tulia hivyo hivyo,ukikukuruka nitamruhusu huyo Askari uliyemwona akufyatulie Risasi,usiongee chochote wala usionyeshe uwoga wowote,,,aliongea hivyo Irene kwa sauti ya chini ya ukali iliyokakamaa kama mtu anayeongea huku amebana meno yake,,Kigoso alitulia kimya kama maji yakiwa mtungini,,Juma pamoja na Zungu ndio walibaki wakimsubiri Kigoso amlete Irene kisha wampige mtungo,hawakujua kama tayari Kigoso yuko katika hali tete,,,
,,,oya,,!oya,,!,,unamwona Kigoso mambo yake,anataka akapige mwenyewe,,aliongea hivyo Zungu baada ya kuona gari aina ya Suzuki nyeusi ikiwasili maeneo aliyosimama Kigoso na Irene kisha wakapanda ndani humo,,,kilichowashangaza ni kumwona tena yule askari Polisi akijitokeza kutoka kule alikojificha ambapo Juma na Zungu walimshuhudia akiwa anaichomeka bastola yake kiunoni,,askari huyo naye alikuja na kuingia ndani ya hiyo Suzuki nyeusi walimoingia Juma na
,,aisee, Kigoso kaisha,yule atakuwa mwanamke wa kutumwa,,daaah,,!,,aliongea hivyo Zungu huku akionyesha kuchukizwa na jambo hilo,,juma tumempoteza Kigoso hivi hivi,,,alizidi kuongea Zungu huku Juma akiwa ameshikwa na bumbuwazi asielewe aamue kitu gani kwa muda huo,,,kwa mbali mchozi ukawa unataka kumtoka,,,,
Huyu kijana anayeitwa Juma ndiye yule muuza kibanda cha vifaa vya vya simu alikonunua chaji Daktari Marlene siku ile,Yaliyopo nyuma ya pazia,kumbe siku ile Juma anainama chini ili kutafuta chaji hizo za pini nyembamba,alifanya ujanja wa kumbadilishia simu na laini,kitendo hiko ndicho kilichozua hatari kubwa mpaka Kigoso anakamatwa,,,ile laini iliyokuwa kwenye simu ya Daktari Marlene aliichukua na kuiweka kwenye simu yake kisha yeye akamwekea laini ya mtu mwingine iliyokuwa inakaa hapo bila kazi,,,
Hiyo Simu ambayo Daktari Marlene aliichukua pindi alipoikuta nyumbani kwa Nelson wakati lipokwenda kumchukulia nguo Nelson za kubadilisha ilikuwa ni simu ya Marehemu Eliet,kwahiyo hisia zake zilikuwa sahihi,hivyo hata Juma alipobadilisha laini na simu hakuelewa kama anayanunua matatizo makubwa kwa shilingi elfu tano,,Kigoso naye akaja kuyanunua matatizo bila hata gharama yeyote kwa kujifanya anajua kuwakomesha wasichana wenye tabia za ovyo,,,
Tukirudi kwa upande wa Adrian ambaye kwasasa alimhitaji Suzan haswa,kwani alishamzoea,hata kama wamekorofishana lakini nafasi ya upendo ndani ya moyo wake bado ilikuwepo,,,hali kadhalika pia hata kwa upande wa Suzan hakuwa na amani kila wakati alimuwaza Adrian ila hakutaka kumpigia simu kwani alishauriwa angeonyesha udhaifu endapo atafanya hivyo,,,
Adrian uvumilivu ulimshinda ambapo aliichukua simu yake ya kiganjani na kumpigia Suzan,,,simu ya Suzan iliita kwa muda mrefu bila kupokelewa,,,hofu ilianza kumwingiza Adrian,,akajaribu kupiga tena pia simu haikupokelewa,,,mashaka yalimzidi moyoni kwa kuhisi Suzan huenda amechukia sana kwa kitendo alichomfayia,,,,
Lakini kwa upande wa Suzan hali ilikuwa tofauti na mawazo au hisia za Adrian,kwani alifurahi baada ya kuona Adrian amempigia,alimkimbilia yule mfanyakazi wao aliyempa ushauri huo na kumkumbatia kuonyeshwa jinsi gani alivyofurahi,,,kwa muda huu Suzan alijilaza kitandani huku akisubiri kwa hamu Simu ya Adrian,,,jamani ndio amekasirika hapigi tena,,,,aliongea hivyo Suzan kwa sauti ya kudeka ambapo mfanyakazi wake alibaki akitabasamu tu,,,yaani laiti kama Adrian angejua una furaha kiasi hicho angekupigia haraka,,,aliongea hivyo mfanyakazi huyo huku akitoka nje,,,Suzan alisubiri simu ya Adrian mpaka ilipofikia majira ya usiku saa tatu bado hakutafutwa,akaanza kujilaumu kwa kutopokea simu muda ule alivyokuwa anapiga Adrian,,,aliishika simu yake na kuiangalia huku akitamani kumpigia Adrian lakini roho yake ilisita,,,
Tukirudi kwa upande wa Marlene baada ya kuona shughuli zinamzidi,alimtafuta binti kwa ajili ya kumsaidia kazi za nyumbani pindi akiwa amekwenda kazini,Adela ndilo lilikuwa jina la Binti huyu wa kazi nyumbani kwa Marlene,kwa muonekano binti huyu alikuwa ni mchangamfu yaani ni mtoto wa mjini,hata uvaaji wake pia ulionyesha jinsi gani tayari mzinga wake umeshaanza kulinwa asali,,
,,,kumbuka kumpikia uji wa ulezi shemeji yako asubuhi hii kabla haijafika saa mbili awe ameshakunywa,mchana uchukue nyama uchanganye na ndizi halafu uhakikishe unaziponda vizuri zilainike,ikifika saa sita ale sawa,,?
,,,sawa dada,nitafanya kama ulivyoniagiza,,
,,,haya,mimi nakwenda,tutaonana baadaye,naomba ukiona shemeji yako amechelewa kuamka umgongee mlango ukamwamshe sawa,,?
,,,sawa shangazi,,,
Ni Marlene mama mwenye nyumba akimpa Adela miongozo ya kumfuata na kufanya nyumbani hapo pindi akiondoka na kuelekea kazini,ambapo alipohakikisha amemaliza kila kitu aliondoka nyumbani hapo,,,
Nelson aliamka na kujisafisha sura yake kisha kwenda kuketi sebuleni,,Shemeji uji tayari nimeshakuandalia uko mezani pale saa mbili hii inatakiwa unywe halafu uendelee kuangalia TV,,,aliongea maneno hayo Adela yaliyomshangaza Nelson na kumfanya ageuke kumwangalia huyo aliyeyaongea maneno hayo,,,,sawa,usijali nitakwenda,,,alijibu hivyo kwa kifupi Nelson huku akirudisha uso wake kwenye TV,,,
,,,,lakini unaendeleaje shemeji,,?,safari hii hakuwa mbali tena,alisogea na kuketi kwenye kochi la karibu,,,
,,,,mmmh,naendelea vizuri namshukuru mungu,,,
,,,,pole sana jamani,usijali utapona,,,
,,,,ahsante,nimeshapoa,,,
Kama ilivyo kawaida ya macho kuwa hayana pazia,basi jicho la Nelson lilitua kwenye uwazi uliopo kati ya mwisho wa kiblauzi alichokivaa Adela na khnga yake aliyoifunga kihasara kiunoni mwake,,kwa jinsi mtoto huyo alivyofungasha mzigo wa maana sehemu ya nyuma basi alivyokaa makalio yakawa kama yamejimwaga kwenye kochi,,,vichuchu vyake vilivyochomoza kifuani kama miiba miwili ilipachikwa ndani ya blauzi,,kichwani kwake Adela alinyoa kabisa ambapo alipendeza hasa,,macho yake yaliyokuwa na mvuto ambayo muda wote yalionekana kama yamelegea,,hakuwa na mdomo mnene,ulikuwa ni wa wastani uliovutia kunyonywa denda,,dimpo zake kweny emashavu zilimwongezea maksi za kuitwa kisura,,,kiukweli alikuwa ni binti mzuri na mrembo pia,,,
Macho ya Nelson yaliendelea kumthaminisha binti huyo aliyekuwa na mvuto wa aina yake kama sio mfanyakazi wa ndani,,, mawazo ya Nelson yakaham kabisa,yakarudi kwenye zile enzi zake za kupenda ngono,,,akajikuta mishipa ya mtalimbo inasisimka na kusababisha mtalimbo kunyanyuka juu,,, shemeji mi naenda kufua nje,,,anhaa,sawa hakuna shida,,,aliaga Adela na kuondoka sebuleni hapo akielekea nnje alipoziacha nguo za kufua,,, macho ya Nelson yaliendelea kulishuhudia wowowo la Adela lilivyokuwa likitikisika ndani ya khanga yake,,yaani ilikuwa kama hakuvaa chupi ndani ya khanga,, hakufanya makusudi bali ukubwa wa wowowo lake uliruhusu hali hiyo,,,alikivutia picha kiuno cha Adela kilichokuwa kama kimechongwa kwa ajili ya kukamilisha umbo namba nane,,,,
Mtalimbo wa Nelson ulikuwa ukiinua suruali na kurudi chini,aliamua kuutuliza na mkono wake,,,we baba tulia kwanza,bado sijapona vizuri bwana,,,aliongea hivyo Nelson huku akiutuliza mtalimbo wake kwa kuuminya na mkono,,,
Ilipita miezi nane,,, Nelson akarejea katika hali yake ya kawaida,ambapo upendo wa Marlene ulizidi kwa Adela akiamini miasosi ya Adela imesaidia sana kumrudisha Nelson katika uzima wake,,kitendo cha Nelson kukaa muda mrefu bila kuhudhuria kazini kwa upande mwingine kilimletea madhara kwani alifukuzwa kazi na nafasi yake ikachukuliwa na mtu mwingine,alichoambulia ni mafao yake yote kwa muda aliotumikia kampeni hiyo,,,Nelson akawa mtu wa kushinda nyumbani tu,huku akimtembelea Marlene kila mwakati,kwakweli kwa upande wake Marlene hakuwa na shida yeyote alizidi kumpenda Nelson hata kama hana kazi,hakuwa tayari kumwacha,,,,
Siku hiyo Nelson akiwa amekuja nyumbani kwa Marlene ambapo palikuwa kama kwake,kwani akifika alikuwa anapitiliza chumbani na kufanya chochote atakacho,,,akiwa nje kabla hajaingia ndani,,alibisha hodi mara nyingi lakini mlango haukufunguliwa,,sauti kuwa ya redio ilisikika kiasi kwamba hata Hodi yake ilimezwa na sauti hiyo ya Redio,Nelson akapatwa na hasira,ambapo alikwenda dirishani na kufunua pazia kidogo,,,mmmmh,,,alijikuta akiguna hivyo baada ya kupitisha jicho lake dirishani hapo na kumwona Adela akiwa amevaa taiti fupi na kibauzi kilichoinuliwa na Chuchu zake ndogo,,, kilichomdatisha Nelson zaidi ni mauno aliyokuwa anayazungusha Adela tena taratibu kwa hisia mpaka chini na kupandisha juu, kuna muda alikuwa alikuwa akiyatingisha makalio yake yaliyokuwa yanatingishika kama yanasukumana au yanataka kuanguka,,, kwavile alikuwa hajui kama Nelson yupo dirishani alijikuta akiyageuzia makalio yake upande ule ule wa dirishani na kukatika,,,
Hewani ni mziki wa taarabu wa Mzee Yusufu,,,ambapo kwasasa ulikuwa umechanganya hasa,,,wananuna nikipita mimi,na nikilishwa minofu,,,wakiniona nadekaaaa si watauomba upofuu,, ajejjejejejejejejeeeee ,,,maneno ya Mzee yusufu yalisikika vyema ambapo mdundo wake Adela aliutendea haki hasa,,,kuna muda akawa anakizungusha kiuno huku mikono ikiwa imezishika Chuchu zake na kufanya kama inaziminyaminya,,,
Nelson akawa hana hali huku nje,mtalimbo wake ulisimama mpaka ukawa kama haujabanwa na chupi kwa jinsi ulivyotuna,,,tayari tamaa ikamwingia mwilini na kuanza kumwongoza ambapo aliusukuma mlango kwa nguvu lakini Adela wala hakusikia,,alipiga dirishani kwa mkono wake lakini wapi,,,,alipaza sauti kuita kwa nguvu lakini haikusaidia kitu,,,
Lakini ghafla umeme ukakatika,,,hivyo hata Redio ilizima,,,hapo ndipo hodi yake Nelson ikasikiwa na Adela,,,alikuja na kumfungulia mlango,,,macho ya Nelson yalipotua kwenye mwili wa Adela yalimwona akiwa na khanga pekee ambapo ndani anajua alivaa nini kwasababu ameshamwona akiwa anacheza,,,
,,,hongera kwa kujua kucheza,,,
,,,mmmh,jamani shemeji umenchungulia,,wewee!,tabia yako mbaya,,,
,,,macho hayana pazia,umecheza mimi nikaona,kwani vibaya,,,
,,,kwahiyo hata nikifunga khanga haisaidii kitu umeshaniona eh,,!
,,,ndiyo,,,
,,,we haya tu namimi nitakuvizia nitakuchungulia,,,,
,,,utanionea wapi,,endelea kucheza sasa umeme umerudi,,,
Umeme uliporudi kwavile hakukuzimwa kwenye swichi basi mziki wa mzee Yusufu uliendelea,ambapo Nelson aliinuka na kuanza kukata mauno ya nguvu,,,alifanya hivyo kwa makusudi huku akiwa na lengo lake kichwani
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE NAOMBA TAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA YA KUKUSOGEZEA SIMULIZI
KWA USHAURI NA MAONI ANDIKA HAPA:
Inbox: Messanger
Email: ZephilineEzekiel@Gmail.Com
Chapisha Maoni
Chapisha Maoni