POLEPOLE MPENZI (7)

Zephiline F Ezekiel
POLEPOLE MPENZI (7)
JINA: POLEPOLE MPENZI Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA SABA ILIPOISHIA... Nelson kwa vile mdomo wake ulikuwa karibu na sikio la kulia la Suzan alichokifanya akawa anaupeleka mdomo wake ili amnong’oneze kitu hicho,mara Suzan akawa kama anajikunja shingo yake kwa mtindo wa kupandisha mabega juu huku macho yake akiyafumba,,, NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Jamani,mbona unafumba macho halafu unalibana sikio na bega,mi nitakunong’onezea wapi sasa,,, ,,,,mmmmh,naogopa utanitekenya,,,,aliongea hivyo Suzan kwa sauti kimahaba ya kudeka kam mtu anayetaka kulia kiutani ,,,,sikutekenyi mrembo wewe,mi nakuambia tu kitu kizuri,,, ,,,aya,taratibu basiii,, Kufuatia kauli hiyo makosa aliyoyafanya Suzan ni kumwachia uwazi Nelson kwenye masikio yake,,alichokifanya Nelson tofauti na alichokisema,kwani alipolikaribia sikio alianza kulipumulia hewa yake ya ndani ya mdomo iliyokuwa na joto lililoanza kumsisimua Suzan,,,mmmmmmh,,,aliishusha pumzi Suzan huku akitulia kama maj…