Notifications
  • MY DIARY (27)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SABATULIPOISHIA...Alinamba eti hayo ya mimi kuolewa tuyaeke pembeni na kwa nini siku hiyo nisilale Moshi tukumbushie enzi zetu. Mwalimu John aliendelea kusema kuwa amenimiss sana na anomba nisahu yaliyopita na turudie yale maisha yetu ya zamani.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijifanya simwelewi lakini ukweli ni kwamba nyota ya mwanaume huyu ilikuwa ni kali sana zaidi yangu na…
  • MY DIARY (26)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA SITATULIPOISHIA...Joyce alinambia yeye haendi kujipanga foleni kama makahaba wengine hivyo yeye hufanya biashara hiyo kitaalamu zaidi.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Alisistiza pia kuwa eti huwa anatumia kinga kuwakinga wengine. Wakati mwingine alinambia acha awaambukize kwa sababu wanaume wangekuwa na akili basi wasingeenda kununua mwanamke. Anasema kuwa laiti biashara hiyo…
  • MY DIARY (25)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TANOTULIPOISHIA...Sikuisha hapo pia nilimpongeza kwa kunijali na kunipenda na kuhakisha kuwa siingii kwenye majanga kama yake mara baada ya kutoka jela. Siku hiyo nilimuelewa sana Joyce na nilikuwa tayari kumsapoti kwa lolote ili mradi tu atimize athma yake hiyo ya kuzaa. Tuliongea mengi sana na baadaye alinionesha picha ya mtu ambaye alitaka kuzaa naye.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (24)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NNETULIPOISHIA...Kwa kweli siku hiyo niliwaza sana na kutafakri vitu vingi. Wale wanachuo wenzangu wamenambia kuwa Msouth alikuwa kwa kimada mwingine na japo stori haikumalizikia ila ukweli ni kwamba alifumaniwa na kupigwa vibaya na huenda walimtupa mahali na ndio maana chanzo cha kifo chake hakieleweki.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilijaribu kuijikontrol ili nisiwaze kitu…
  • MY DIARY (23)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TATUTULIPOISHIA...Alinisihi sana nisitoe niilee na yeye atatoa huduma zote lakini tuendelee kufanya siri ili tusije tukahatarisha ndoa yake na kusababisha familia yake kuyumba. Kwa kweli sikuweza maana ilikuwa ni kujipa tabu mimi na huyo mtoto atakayezaliwa. Bora ataa ingekuwa ni mimba ya ule mwalimu ambaye hajaoa.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilitamani nimchomekee hiyo mimba…
  • MY DIARY (22)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MBILITULIPOISHIA...Alitumia vizuri umbo lake la kimiss kutembea kimiss na kuweka mapozi ya maana. Na baada hapo alilala kwenye kile kigodoro na akachojoa vyote isipokuwa kufuli jeupe ambalo nalo alipewa hapo hapo kwa ajili ya kazi hiyo. IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi sikumpa nafasi Joyce niliingilia nafasi yake na kuchukua ule uume wa bandia nikamfuta yule dada.…
  • MY DIARY (21)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA MOJATULIPOISHIA...Nilichomeka simu chaji na kuiweka hewani ili nione kama kutakuwa na sms yeyote iliyoingia.Hofu ilizidi kunitawala na wakati naendela kufikira simu yangu iliita niakzani labda ni Joyce na nilipoiangalia nilimkuta ni Msouth. Sikutaka kuipokea nikaiacha iite mpaka ikate yenyewe.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nikajiuliza kwani amepatwa na nini usiku huo mpaka…
  • MY DIARY (20)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINITULIPOISHIA...Nikamwambia kuhusu namba zangu za simu amuombe aliyemtuma anisaidie na kuhusu hilo la pili je hatuwezi kufanya kesho kwa sababu kuna mahali nilikuwa nikienda? Alifikiria kwa sekunde kadhaa na kuniambia kuwa hapana anaomba nimsaidie leo kama yeye alivyonisaidia mimi kwa sababu ningekuwa kwenye foleni nisingeweza kuondoka kirahisi hivyo kama ninavyofikiria.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (19)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA TISATULIPOISHIA...Baada ya hapo niliendelea kumdadisi juu ya tukio lile lakini hakuwa tayari kufunguka zaidi ya kusema aliumia sana. Hapo nikaamua kuutafuta ukweli kwa kutumia mbinu za kike.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Nilimwekaa mikono begani na kumwambia pleaee dear naomba uniambie ukweli ili nijue nakusaidiaje? Basi Ramadhani akaanza kulalamika kuwa baba yake amekuwa akimwingilia…
  • MY DIARY (18)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA KUMI NA NANETULIPOISHIA...Halafu eti akawasha simu na kuonesha zile picha alizotupiga kweli huyu rafiki yangu alikuwa hamnazo sio picha tu alituchukua video kabisa na sauti. Akanambia ngoja ampigie paparazi mmoja hivi aje ili atengeneze habari tupate hela. Kauli hiyo ilinikosesha amani na kunikera sana akanmabia eti kuna namna ya kufanya ili sura yangu isitokee.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…

POLEPOLE MPENZI (8)

Mwandishi: Geofrey Malwa

SEHEMU YA NANE
ILIPOISHIA...
Aliendelea kukagua meseji nyingine ambapo zilikuwa ni za kawaida,alichokifanya alichukua namba ya Adrian na Moni Sex,kisha akairudisha vile vile kwenye lile kochi alipoichukua
Tayari yalikuwa ni majira ya saa kasoro ndio Suzan alipata kuamka ambapo alitoka chumbani kwa Nelson huku akiwa amejifunga taulo la Nelson kupitia kifuani kwake

NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU

SASA ENDELEA...
Kiukweli alivutia sana Suzan,mapaja yake yalionekana laivu kwani taulo hilo lilimwishia juu kidogo ya mapaja,,

,,,,,Nelson jamani,kwanini umenikimbia,,,,kwa sauti ya uchovu iliyosikika kama inatokea puani
,,,,,sijakukimbia Suzan wangu kuna kitu kizuri nilikuwa nakuandalia,,,,aliongea hivyo Nelson huku akimsogelea Suzan na kumkumbati

,,,,unajua nakupenda sana Suzan na sihitaji nikupoteze,huwa najisikia furaha sana nikiwa nawe,najiamini na kuona kama nimemiliki dunia pale ninapokusogelea,unanipa furaha sana,,,nitafanya kila linalowezekana nisikukose,,,,aliongea maneno hayo Nelson huku akiwa amemkumbatia Suzan na kumpapasa uso wake

,,,,,nashukuru kwa kunipenda,mimi pia nakupenda sana,ndio maana mpaka muda huu niko hapa na wewe,,,kwa macho malegevu aliongea Suzan huku akijiumauma mdomo wake wa chini
Baada ya kupeana maneno hayo Nelson alimgeuza Suzan kisha akamziba macho yake na mikono,,,jamani,mbona unaniziba macho,,,,aliuliza hivyo Suzan kwa sauti ya kudeka huku minkono yake yote miwili ikiwa imemshika Nelson kiunoni mwake,,,usijali,nakupeleka sehemu nzuriiiii,nina imani utaifurahia,,,,aliongea Nelson kwa kujiamini huku akitembea naye kwa kumziba macho,,,
Baada ya sekunde kadhaa,Nelson alitoa mikono yake machoni mwa Suzan ambaye alipatwa na mshangao mkubwa baada ya kuona ameletwa kwenye meza ya chakula,,,iliyosheheni hotpot nyingi na matunda,,,walienda na kuketi pamoja kisha wakaanza kula,Suzan alikifurahia sana chakula hicho alichokipika Nelson mwenyewe,kilikuwa ni wali kuku na njegere,ilikuwa kama mama kwa mtoto wake,Suzan alilishwa na Nelson mpaka mwisho wa chakula,,,aliyafanya yote haya Nelson ili kuzidi kumteka Suzan

Walipomaliza kula,ndipo Suzan akakumbuka simu yake,mara tu walipomaliza kula walielekea sebuleni,ambapo Suzan aliichukua simu yake na kuangalia,alishtushwa na kukuta Missed call nyingi za Adrian,kawa anajishauri kumpigia lakini akaona asimpigie kwanza,akampigia Monika,rafiki yake kipenzi aliyemsevu,Moni Sex,alijifanya kama anaenda chumbani ndipo huku akiongea na Monika,,

,,,,Shosti uko wapi wewe,au kwa Nelson?,,utamuua baba wa watu kwa presha wewe!,,,aliongea hivyo Monika kwa uchangamfu
,,,,jamani nimekuta Missed call zake nyingi kweli,alikupigia?,,
,,,,mi alinipigia nikamwambia upo huku kwangu bila kuelewa upo wapi,,,
,,,mmmh,,mwenzangu,sijui ndio kunogewa huku,yaani mpaak sasa hivi nipo huku kwa hiki kidume,sitamani hata kumwacha,,,
,,,,mmmh,kuwa makini mamii wangu lakini,,,
,,,,mpaka kanipikia nakwambia,najiona kama malkia,,,,
,,,Adrian kweli ajipange upya,,,
,,,,ha ha ha!,,sijamsahau jamani,mi hata sijielewi bwana,,,

Maongezi yao yaliishia hapo ambapo Suzan alikata simu na kurejea sebuleni kisha kwa pozi za mahaba alijiweka kwa Nelson,kiukweli alijikuta akimsahau Adrian kwa muda mfupi na kujiachia kwa Nelson,kwa upande wa Nelson alichukulia kama ni faida kwake kwasababu alikuwa ameshaanza kumpenda Suzan,,,

Tukirudi kwa upande wa Adrian,kiukweli usingizi haukumjia mpaka awasiliane na Suzan,akiwa amejilaza kitandani bado akili yake haikutaka kukubali kulala bila kusikia sauti ya Suzan,kama unavyojua mazoea yalivyo mabaya,ukimzoea mtu katika mahusiano hata kama humpendi siku usipowasiliana naye lazima utajisikia vibaya,,

Akiwa hapo kitandani mara akapigiwa simu na ndugu yake ambaye hakuwasiliana naye muda mrefu kisha akapewa taarifa kuwa mama yake ni mgonjwa sana hivyo kwa siku ya kesho ataletwa nyumbani kwake ili aweze kupata matibabu,mawazo yakamjia tena kuhusu hali ya mama yake,,
Asubuhi kulipokucha aliamka Adrian huku huzuni ikamjaa moyoni mwake kwa kutokuwasiliana na Suzan kipenzi chake,mara yule ndugu yake akampigia tena simu ambapo alimpa taarifa iliyomshtua moyo wake,,,ndugu yangu,mama tumeamua kumpelekea hospitari,kwasababu hali yake ni mbaya sana,,,ndugu yake aliongea hivyo kisha akamtajia jina la hospitari aliyolazwa ambapo kwa bahati nzuri aliifahamu,akili yake ikahama kabisa,akatoka ndani bila hata kuvaa mkanda kiunoni na kuelekea hospitari,,,

Alipofika hospitari alimkuta mma yake akiwa amelazwa kwenye kitanda na kutundikiwa dripu,kiukweli akili yake ilichanganyikiwa huku akijiuliza ni ugonjwa gani wa ghafla uliompata mama yake,,akifikiria ni mwaka juzi alimpoteza baba yake,tumaini lake kubwa lilikuwa ni huyo mama yake,,,mama!,,nakuita mwanao,amka,,,aliongea hivyo Adrian huku sura yake ikijikaza kulia,,,
Mara mama yake akaanza kufumbua macho na kumwangalia Adrian,,,,mwanangu kipenzi,najua unanipenda sana,mimi mama yako nakwenda lakini kitu kimoja ninachohitaji ukijue,una mdogo wako anaitwa Kiliani Msope,mtafute popote alipo,ana alama kwenye kidole chake cha mwisho,hakikuota kucha,,,,,baada ya kusema hivyo mama huyo alikata roho,,,,

Adrian baada ya kushuhudia mama yake anakata roho,Adrian alilia kwa uchungu huku akijaribu kumtikisa mama yake kuona kama ataamka,kiukweli linapokuja suala la kuondokewa na mtu unayempenda huwa inauma sana,ndivyo ilivyotokea kwa Adrian ambaye alilia kama mtoto mdogo,yule ndugu yake wakisaidiana na madaktari walijitahidi kumtuliza Adrian wakimtaka ajikaze kiume kwani hata akilia haiwezi kubadilisha matokeo,,,

Yalifanyika mazishi ambapo Suzan na wazazi wake walihudhuria,ulikuwa ni wakati mgumu kwa Adrian ambaye japo mama yake umri ulikuwa umeenda lakini hakuwa tayari kumpoteza kwa kipindi hicho,,,
Ulipita mwezi mzima,Adrian akiwa nyumbani huku faraja yake kubwa ikiwa ni Suzan,maumivu juu ya kifo cha mama yake yalianza kupungua moyoni mwake kwani hakuonekana kama mwanzoni,wakiwa wameketi nje kibalazani huku kichwa cha Adrian kikiwa juu ya mapaja ya Suzan,,,

,,,niambie mume wangu mtarajiwa,,,
,,,safi kabisa mke wangu mtarajiwa,,,,
,,,mmh baby,kuna kitu uliniahidi jana kuwa ikifika leo nikukumbushe utaniambia,,,
,,,aaah,nimekumbuka mpenzi wangu,,,
,,,haya niambie,nakusikiliza baba,,,,
,,,mama kipindi anakata roho,aliniambia kuna mdogo wangu anaitwa Kilian Msope,natakiwa nimtafute,,,,
,,,jamani,sasa tutaanzia wapi?,,tumepewa jina tu,,,
,,,yaani hicho ndicho kinachoniumiza kichwa,ni kazi ngumu kwakweli,,,
,,,,mmh,lakini usijali tutampata tu,mimi naamini hivyo,,,
,,,,mimi pia naamini hivyo,inabidi tumshirikishe mungu kwenye hili,,,
,,,uko sawa kabisa baba yangu,,,

Nelson akiwa afosini kwake ambapo anakofanyia kazi sio mbali sana na mahali zilipo ofisi za Baba Suzan,alipigiwa simu na Monika rafiki kipenzi wa Suzan,alipoangalia simu yake aliigundua ile namba kwasababu aliisevu tangu siku ile alipoichukua kinyemela kwenye simu ya Suzan,akatabasamu kisha akaipokea,,,

,,,,hallo baby!,,,,sauti nyororo ya Monika ilisema hivyo
,,,,hallo,nani mwenzangu,,,aliuliza Nelson kwa makusudi
,,,,naitwa Monika rafiki wa Suzan,na mimi mke wako mwingine,,,
,,,,ha ha haa!,,niambie,,
,,,,safi tu,uko wapi?,,
,,,,niko kazini sasa hivi,najiandaa kurudi nyumbani,,,,
,,,,anhaa,pole na kazi mume wetu!,,,aliendelea monika kuita majina ya kusisimua yaliyomfanya Nelson kutabasamu tu
,,,,,ahsante,sema mke wangu wewe unaongea!,,,
,,,,,ndio,nisipoongea sana si nitaachika,,,

Kufuatia kauli hiyo ya Monika mara simu ya Nelson ikazima chaji,kwavile yalikuwa ni majira ya kurudi nyumbani,Nelson aliweka kila kitu sawa katika ofisini kwake kisha akaondoka,,,hakutumia dakika nyingi aliwasili nyumbani kwake ambapo palikuwa kimya haswa,,,akaichomeka simu yake kwenye chaji kisha akaiwasha,,,mara ukalia mlio wa meseji ambapo kwa haraka akaifungua,,,jamani mume,ndio umeniacha mwenyewe hata hupatikani tena?,,,,alikuwa ni Monika aliyetuma meseji hiyo iliyomwacha Nelson akitabasamu pasipo kuijibu

Suzan akiwa makini kumpatia faraja Adrian na alihakikisha haipiti sekunde pasipo kuwa karibu naye,upande wa pili mazoea kati ya Nelson na Monika yalipamba moto ambapo ilifika muda mpaka usiku wanawasiliana kwa kupigiana simu,,,

Usiku mmoja,Nelson akiwa amepumzika kitandani kwake,kiukweli siku hiyo usingizi hakuwa nao kabisa,,,mara simu yake ikaita,aliangalia alikuwa ni Monika,,,mmmh,usuku huu wa tano na robo anataka nini huyu mwanamke?,,,alijiuliza swali hilo kabla ya kupokea,akiwa anaifikiria simu hiyo alijikuta akichelewa kuipokea mpaka ikakata,,,ikapita kama robo saa akapiga tena simu Monika ambapo Nelson akaipokea,,,,

,,,,jamani wewe,tabia yako mbaya,,,aliongea Monika kwa sauti ya kimahaba iliyosikika kama inatokea puani
,,,,nimefanye tena mimi,,,,,
,,,,kwanza umeniacha nimelala peke yangu,we si mume wangu wewe!,,,
,,,,mmmmh,ndio nilikuwa najiandaa nije hapo,,,
,,,,haya njoo nakusubiria,,,,kwa jinsi monika alivyokuwa anaongea tayari mtalimbo wa Nelson ulishaanza kupata moto,,
,,,,,usijali nakuja sasa hivi,,,,
,,,,aaaah,,,usichelewe jamani,mkeo nakuhitaji kitandani,umevaaje kwani?,,,
,,,,mmmh,nimevaa bukta tu nyepesi,,,,
,,,,oooh,,kama nakuona vile jamani hapo kwenye nanihii palivyotuna,,,aaaah,,,kiukweli kauli hi ilimsisimua Nelson na kujikuta mtalimbo ukipanda juu na kushuka chini kwa hasira
,,,,mmmh,,na wewe umevaaje?,,,
,,,,kwa ajili yako,sijavaa chochote,,,
,,,,aah,,nawewe unanitamanisha,,,?
,,,,na nilivyo na vichuchu vizuri,nakwambia hapa vimesimama vinataka ulimi wako,,,
,,,,aaah,,we mwanamke utaniua jamani,,kwahiyo unataka nikunyonye Chuchu zako?,,,
,,,,ninyonye jamani,huwa nasikia raha nikinyonywa Chuchu,,,
,,,,haya,nakuja kwa juu yako hivyo,,,nakusogelea mpaka kwenye kifua chako,,,naelekea kwenye Chuchu ya kulia kisha nautoa ulimi wangu uliokuwa na mate kidogo,naanza kuinyonya Chuchu yako ya kulia,,,nafanya kama naing’ata na meno,,naitekenya vyema,,,,

Wakati Nelson akiongea maneno hayo,Monika alikuwa hajavaa kitu chochote,alijipanua mapaja yake na kuanza kujishikashika maziwa yake huku akitoa miguno ya kimahaba aliyosikika vizuri kwenye masikio ya Nelson,,kwa upande wake Nelson alipokuwa akiongea maneno hayo alijilaza chali na kuutoa mtalimbo wake ulionyooka na kuanza kushikashika kama anaupigisha punyeto,,,

,,,,,Aaaah,, ooooh,, beiiibiiiii,,, oooh,,, oooooshiiiii,,, aaah,, alilalamika Monika kwa sauti tamu ya kushawishi hisia ambapo Nelson alibaki katika wakati mgumu,,,
,,,,Nashuka mpaka kwenye kitovu chako kilichoingia ndani naingiza ulimi wangu na kuanza kukinyonya,,,alizidi kuongea hivyo Nelson huku akijishikashika Mtalimbo wake
,,,,shuka mpenziiiii,,,,, aaah,,shukaaaaa,,,,, hapo hapo,,,, unanisisimua mpenzi aaaaaah,,, aaaah,,, oooooh,,,, aaaisssssssss,,, shuka chini beiibiiiii

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE NAOMBA TAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA YA KUKUSOGEZEA SIMULIZI

KWA USHAURI NA MAONI ANDIKA HAPA:
Inbox: Messanger
33 Polepole Mpenzi Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni