POLEPOLE MPENZI (8)

Zephiline F Ezekiel
POLEPOLE MPENZI (8)
JINA: POLEPOLE MPENZI Mwandishi: Geofrey Malwa SEHEMU YA NANE ILIPOISHIA... Aliendelea kukagua meseji nyingine ambapo zilikuwa ni za kawaida,alichokifanya alichukua namba ya Adrian na Moni Sex,kisha akairudisha vile vile kwenye lile kochi alipoichukua Tayari yalikuwa ni majira ya saa kasoro ndio Suzan alipata kuamka ambapo alitoka chumbani kwa Nelson huku akiwa amejifunga taulo la Nelson kupitia kifuani kwake NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Kiukweli alivutia sana Suzan,mapaja yake yalionekana laivu kwani taulo hilo lilimwishia juu kidogo ya mapaja,, ,,,,,Nelson jamani,kwanini umenikimbia,,,,kwa sauti ya uchovu iliyosikika kama inatokea puani ,,,,,sijakukimbia Suzan wangu kuna kitu kizuri nilikuwa nakuandalia,,,,aliongea hivyo Nelson huku akimsogelea Suzan na kumkumbati ,,,,unajua nakupenda sana Suzan na sihitaji nikupoteze,huwa najisikia furaha sana nikiwa nawe,najiamini na kuona kama nimemiliki dunia pale ninapokusogelea,unanipa furaha sana,,,nitafanya…