SORRY MADAM (1)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (1)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA KWANZA Ni siku ya jumamosi kama kawaida wanafunzi waote wa shule tunayosoma tunakwenda viwanjani kucheza michezo mbali mbali kama mpira wa miguu na michezo mingine ambayo wanacheza wasichana waliopo katika shule yetu ambayo nay a bweni yenye mchanganyiko wa wasichana na wavulana kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita na nishule ya mtu binafsi( PRIVET SCHOOL ) iliyopo katoka mkoni Arusha . Kama kawaida yangu ya kuwa shabiki wa timu ya darasa langu la kidato cha tano ninachosoma ninaendelea kutazama mechi tunayocheza na kidato cha tatuhadi wakati huu tumeshafungwa goli mbili kwa moja huku dakika zikiwa zinakimbia kuelekea ukingoni huku mashabiki wa kike wa kidato cha tano wakiendelea kuwapa moyo wachezaji wetu waliopo uwanjani NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU “Oya Eddy mcheki yule manzi pale” “Yupi?” “Yule aliyevaa sweta jeupe” “Ana nini?” “Cheki alivyo bomba majamaa kibao wamemtokea wamepigwa chini” “Yupo kombi gani…