SORRY MADAM (12)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (12)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA KUMI NA MBILI ILIPOISHIA... Manka alizungumza kwa sauti ya kibabe na kunifanya nibaki nikimtazama pasipo kumuunga mkono kwenye mazungumzo yake. Akavuta fumba kubwa la moshi wa sigara kisha akaja kunipulizia usoni na kunifanya hasira zizidi kuongezeka NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... “Huyo ticha wenu mayange kwangu hapa ana nihanya siku nikimuanzishia mtiti yeye mwenyewe ana bwela……Kuna siku nilimkuta anamkoromea sister kilicho mpata anakijua mwenyewe” “Manka mpenzi wangu nakumba unifungue basii?” “Hhaaaaa wewe fala mimi sio mpenzi wako usijidai una gia za uongo uongo alafu ukadhani mimi ni kenge kiasi hicho kugekuwa na semu yoyota ninaye soma naye ungemuuliza kuwa Mamka G . ni nani?” Manka akamaliza kuvuta sigara yake kisha akatoka chumbani huku bastola yake ikiwa mkononi.Nikaona nikiendelea kujilaza kitandani utakuwa ni ujinga wa karne.Nikajivuta juu kidogo na kuanza kuifungua kamba ya mkono wa k…