SORRY MADAM (13)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA KUMI NA TATU ILIPOISHIA... ...mimi nilikuwa ni daktari wa upasuaji basi nilijumuika na madaktari wezangu kumfanyia baba yako upasuaji chini ya kitovu ambapo tulikuta mirija yake ya uzazi imeharibika na tukashauriana na madaktari wezangu ambao walinishangaa kuniona nina uwezo mkubwa wa kumfanyia mtu upasuaji japo kuwa nilikuwa bado ni mwanafunzi tukaona ni vyema tukamtoa……..” NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Mapigo ya moyo yakanipasuka na kujikuta nikikaa vizuri kwenye sofa na kumtazama mama ambaye uvumilivyu unamshinda na kujikuta akiendelea kutokwa na machozi.Mama akameza fumba la mate kisha akaendelea “Tuliishoma sindano mirija yake ya uzazi ili kuwatoa bacteria ambao wangeweza kushambulia mirija hiyo kwa jinsi ilivyokuwa imeharibika.Lakini mwanangu kusema kweli ile sindano haikuwa nzuri kutokana inamfanya mwanaume kukosa uwezo wa kuzalisha mbegu zenye nguvu zitakazo mpelekea mwanaume kumzali…