SORRY MADAM (15)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA KUMI NA TANO ILIPOISHIA... “Eddy nakuomba unisaidie katika kesi hii wewe ndio kiongozi wangu wewe ndio unaweza kuzizima ndoto zangu katika maisha yangu……..Eddy sikukusudia kukuua na wala sikuwa na lengo baya la kukudhuru yote yalitokea kwa sababu ninakupenda Eddy na sikujua ni jinsi gani ya kukushawishi ili unipende nilidhani utanichezea na kuniacha” NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Manka alizungumza kwa huzuni huku akilia kwa uchungu akionekana kujutia kwa kitu alicho kifanya “Sasa Manka kwa nini hukuwa mstaarabu mpaka tushikiane bastola kwa kitu kidogo” “Eddy nakuomba unisamehe ila nakuomba unisaidie katika hili swala” “Manka siwezi kukusaidia katika lolote inakubidi na wewe ulipe kwa kitu ulicho nifanyia” “Kaka muda umekwisha anatakiwa kuingizwa kizimbani” Askari alizungumaza na kunifanya nianze kupiga hatua za kutoka nje ila Manka akaniwahi na kunishika mkono huku akilia “Eddy hata nikinyongwa a…