SORRY MADAM (16)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (16)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA KUMI NA SITA ILIPOISHIA... “Eddy Eddy mwanangu jua kuwa mimi ni mtu mzima na kila unacho pitia,mimi pia nilisha pitia kipindi ninakua sasa usitake kunidanganya hembu niambie ukweli mwanangu ni kweli Manka ulitembea naye?” “Sijatembea naye wewe si umesema ni dada yangu?” NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... “Ndio ni ndugu yako……Kachukue begi lako la nguo dereva akupeleke shule” Mama jioni yote hii derive anipeleke shule?” “Maamuzi ndio hayo kavae ngui zako za sule derive akupeleke Arusha” “Lakini mama sijapona vizuri” “Hujapona vizuri au unataka kujidekeza dekaza kumbuka kuwa wewe ni A level tena mwenyewe unajiita PCB sasa sijui huko shule kama unasoma au ndio kuruka ruka vaa upelekwe shule” Kitendo cha mama kuniambia nijiandae nirudi shule kikanikosesha amani katika moyo wangu na sikuwa na jinsi zaidi ya kujiandaa na taratibu ili dereva anirudishe.Hadi namaliza kujiandaa ikawa imeshatimu saa kumi na moj…