SORRY MADAM (17)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (17)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA KUMI NA SABA ILIPOISHIA... Askari mmoja alizungumza huku akinipiga makofi mazito ya mgongo akinisukumia kwenye gari lao na kuninyanyua juju na kunisukumia ndani ya gari na kujikuta nikiangukia kifua na maumivu makali yakaanza kutawala katika kifua changu NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Dereva akanisaidia kuninyanyua na kunikalisha katika sehemu aliyo kaa yeye kisha baada ya muda wakaziingiza maiti moja huku ikiwa imefunikwa na askari wawili wakapanda na kukaa nyuma tulipo sisi huku wakiwa na bunduki zao kusha mwengine wawili wakapanda mbele upande wa dereva na safari ikaanza “Yaani nyinyi ngojeni tu mutaona ngoja mama aje” “Funga bakuli lako shenzi kabisa wewe na mama yako wote tutawasweka ndani munakazi ya kukaa na kuiba iba” “Sawa sisi si majambazi basi nyinyi ndio mutakuwa majambawazii” “Unasemaje dogo” “Nasema kwa pua mdomo unatia saini” Nilizungumza maneno ya kejeli yaliyo andamana na hasira k…