SEHEMU YA KUMI NA TISA
ILIPOISHIA...
“Wee acha tuu yaani nilisaa la tatu tumekaa hapa na hiyo foleni hapa hadi tuimalieze ni shughuli”
“Ndio tatizo la nchi yetu kukitokea jambo kama hili basi wahusika wataanza kujivuta vuta usishangae hapa tunakaa zaidi ya masaa kumi”
“Kweli na hapa mtu huwezi kusema utahairisha safari kwani nyuma yetu kuna foleni mbele huko ndio usiseme”
NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU
SASA ENDELEA...
“Kuna biashara zangu nilitaka kuziwahi ila hapa nimesha chelewa itanilazimu kulala Arusha kitu nilichokuwa sijakipanga kabisa”
“Ulitaka urudi le oleo?”
“Ndio ila kwa hali hii nahisi hapa kuna kulala”
“Wewe ni mfanya biashata?”
“Ndio ninachukua mizigo ya nguo za wanawae na watoto kutoka Dar na kwenda kuiuza Arusha”
“Ahaa hivi hiyo biashara inalipa?”
“Ina lipa pale mtu unapokuwa mchakarikaji ila ukiwa goi goi utaiacha kazi…..Vipi wewe uanashughulika na nini?”
“Mimi ni mwanafunzi nipo kidato cha tano”
“Ahaaa ila si hamjafunga bado?”
“Ndio ila mimi kuna matatizo kidogo yalinipata ndio nikarudi nyumbani ila sasa hivi kidgo nipo powa”
“Soma bwana sisi wengine tulikimbia shule na sasa hivi tunazunguka zunuka na dunia”
“Sawa ila hata wanao soma pia wanaangaika na dunia”
“Ni kweli ila huwa ninawashangaa sana wale wanaosoma na kutaka kuajiriwa.Wanashinda kutumia elimu walizo nazo katika kubuni miradi itakayo waingizia pesa wanakazi ya kukaliaa kuhangaika na vijibahasha vyao kwenye maofisi ya watu na mbaya zaidi unakuta mshaara anao lipwa ni waajabu sana”
“Yaani wee acha tuu mdoi maana mimi katika maisha yangu sijapanga kuja kuajiriwa nahitai nijiajiri mimi mwenyewe”
“Ukiwa na nia na malengo utaweza hakuna kinacho shindikana chini ya jua”
Gafla tukasikia mlipuko mkubwa ukitokea katika magari ya mbele ya magari yetu na ikatulazimu tushuke kwenye gari haraka kwenda kuangalia ni nini.Tukakuta moshi mwingi mweusi ukisambaa angani na hauku magari mawili ya mbele ikiwemo roli la mafuta lililo pata ajali yakiteketea kwa moto mwingi.Watu waliopo kwenye magari ya karibu na magari hayo yanayo waka moto wakaanza kukimbia kurudi nyuma tulipo sisi na kusababisha msongamano mubwa wa watu wanao jaribu kuziokoa roho zao
“Huu moto utakuja tuu huku”
Msichana alizungumza huku akiwa anafunua kitambaa kilicho iziba sura yake na kujikuta nikimeza fumba kubwa la mate na kubaki nikimtazama jinsi alivyo jaliwa uzuri wa sura kiasi kwamba nikajikuta nashindwa kumjibu kitu
“Vipi mbona unanishangaa?”
“Ha…haaa pana”
Kabla sijajibu chochoye gari nyingine mbili zikashika moto na kuanza kuteketea na kwa mahesabu ya haraka haraka gari letu ni la nane kutoka katika gari nne zinazoteketea kwa moto.Polisi wa kikosi cha barabarani wakaanza kuwaomba watu kurudi nyuma kwani hali sio nzuri na muda wowote magari mengine yanaweza kufwata katika kuungua kwa moto.Nikaingia ndani ya basi na kuchukua begi langu la nguo pamoja na pochi kubwa ya msichana huyo kisha nikashuka na tukajumuika na watu wengine kurudi nyuma huku tukizipisha gari za zima moto kufanya kaziyao
“Kaka unaitwa nani?”
“Ninaitwa Eddy wewe je?”
“Mimi ninaitwa Sheila”
“Una jina zuri”
“HAhaaaaa wapi mbona jina la kawaida”
“Ebwaane ehee hapa safari inaweza ikaahiriswa?”
“Sijui tusubirie matoke kwa maana hapa hali imeshakuwa mbaya”
Kazi ya kuuzima moto unao waka ikaanza kuwashinda wazimaji kwani magari mengine yakaanza kushika moto kwa kasi na mbaya zaidi katika eneo tulilo kuwepo upepo wake ni mkali kiasi kwamba husababisha moto huo kuyapata magari mengine.Watu baadhi wakaanza kupanda boda boda za pikipiki kuondoka katika eneo hilo huku watu wengine wakiyalilia magari yao yanayo teketea kwa moto na kujikuta nikaanza kumcheka jamaa mmoja anayelia
“Eddy unacheka nini?”
“Yule jamaa pale aliye kaa chini kwenye majani ameunguliwa na ile Nohah yake kule mbele”
“Ndio unamcheka mwenzoko?”
“Hapana ninachokicheka mimi ni maneno yake anadai gari ameichukua juzi kwa mkopo wa benki alafu leo limeungua moto”
“Masikini wee kaka wa watu hadi huruma”
“Kweli anatia huruma ila vitu vya mkopo vinapo pata majanga kama haya hukufanya upagawe na kulia kama mtoto mdogo”
Tukaendelea kukaa kwa masaa matatu mbeleni ila matumaini yetu yakaanza kupotea taratibu huku sote tukishuhudia basi letu likiwa ni miongoni mwa magari yanayo teketea kwa moto.Nikiwa nimeduwaa simu yangu ikaita na kukuta mama ndio anaye piga
“Wewe umeshafika wapi?”
“Mama ndio tunakaribia kuingia Moshi”
Ikanilazimu kukaa kumdanganya mama kwani tangu ninaondoka nyumbani alikuwa akinisema sema na kuniona mimi ni mzembe wa kuto kupenda shele isitoshe aliniambia niondoke na gari la kwanza kwenda Arusha mida ya saa kumi na moja alfajiri ila kwa uzembe wangu nikaondoka na gari la saa nne asubuhi
“Ahaaa nilijua umekwama hapo WAME”
“Hapana tumepapita muda mrefu sana hapo wami kwani kuna nini?”
“Kuna magari yamepata ajali hapa natazama breaking news kwenye Tv ndio maana nikakuuliza”
Moyo ukanipasuka kwani katika sehemu niliyo kuwepo kuna Camera za waandishi wa habari ila sikujua ni waandishi wa kituo gani cha habari.
“Haya mama simu yako inakata kata sikusikii vizuri “
Mama akakata simu ikanibidi nimshike mkono Sheila na kusimama naye mbali kidogo na walipo waandishi wa habari
“Vipi mbona ngija ngija za kuvutana?”
“Ahaa nimeamua tuje tusimame huku nifanye mpango wa kutafuta pa kwenda kulala ka maana hapa naona safari hakuna tena”
“Si urudi nyumbani?”
“Nyumbani hakurudiki itanilazimu nikalale hoteli”
“Mmmm basi fanya hivyo ngoja mimi nione kama kuna uwezekano wa kuendelea na safari”
“Sidhani kama utaweza kuendelea na safari”
“Eddy mbona unanikatisha tama?”
“Sikukatishi tamaa ila ndio ukweli wenyewe”
“Powa basi twende kwangu”
“Kwako?”
“Ndio unaogopa nini kwani?”
“Siogopi ila nisije nikavunjwa meno tu”
“Uvunje meno na nani?”
“Na wanao miliki mali yao”
“Hakuna kitu kama hicho”
“Sawa”
Tukapanda boda boda za pikipiki hadi chalinze na tukakodi taksi hadi nyumbani kwa Sheila maeneo ya Kimara na tukasimama mbele ya nyumba ya kifahari nyenye geti kubwa.Sheila akamlipa dereva taksi kisha tukashuka akafungua geti na kuingia ndani na nyumba imetawaliwa na ukimya mkubwa
“Mbona kupo kimya?”
“Ninaishi peke yangu”
“Kumbe una maisha mazuri hivi?’
“Wapi nimepanga tuu hapa”
Tukaingia ndani na Sheila akanikaribisha kwenye sofa zake na kunipa kunipa maji ya baridi kisha yeye akaingia ndani.Ktokana kupo kimya sana nikaona ni bora niwashe Tv iliyopo hapo sebleni na nikachagua chagu CD zilizopo juu ya spika za redio na kuipata CD moja isiyo na maandishi ya aina yoyote wala kuwa na picha.Nikaiweka kwenye deki kisha nikapunguza sauti hadi mwisho kwani ninakumbuka yaliyo nikuta kwa Madam Mery kwa kukuta CD ya ngono.Kajacho kembamba kakaanza kunimwagika baada ya kuona CD hityo ikionyesha mazingira ya humu sebleni na katika kochi nililo kaa mimi kulikuwa na jamaa amekaa huku akipiga kelele na akionekana analia kama mtoto mdogo.Camera ikashushwa chini kidogo na nikaona jamaa akivuja damu nyingi sehemu zake za siri kiasi kwamba damu zikaanza kunisisimka.Mapigo ya moyo yakazidi kunienda mbio baada ya kumuona msichana akiwa amesimama mbele ya kamera huku akiwa uchi na mkononi mwake akiwa ameshika uume wa mwanaume ulio katwa
Mwanamke huyo akaishika kamera na kuipandisha juu kidogo na kuiona sura Sheila huku akiwa ametabasamu na kuzungumza maneno yaliyozidi kuniogopesha
“KILA MWANAUME KWANGU NIKITEGA UCHUMI HAHAAAAAAAAAAAAAA…………”
Baada ya Sheila kuzungumza maneno hayo akaanza kuutafuna uume wa mwanaume alio mkata na kunifanya nifumbe macho kwa kuogopa kitu anacho kifanya.Kishindo cha mtu kukaa pembeni yangu huku akionekana kujirusha juu ya sofa hilo ukanifanya nistuke huku nikiyafumbua macho yangu na kumkuta Sheila akiwa amekaa huku ameshika glasi ya maji ya kunywa
“Mbona umestuka?”
“Haaaaa…..?
Nilijibu kiwoga ila nikajitahidi kujikaza ili Sheila asijue kuwa nimeogopa kwa kitu nilicho kiona kwenye CD hiyo.Kwa macho ya kuiba nikaitazama movie niliyo iweka na kumuona Sheila akicheka pamoja na watu wengine wawili ambao ni wanaume wakiwa wamevalia boxer,Ikanibidi sura yangu kuigeukia kioo cha luninga huku nikiwa na wasiwasi kwa mbali huku jicho langu moja nikimtazama Sheila kwa umakini.Nikazidi kushangaa baada ya kumuona jamaa aliyekatwa uume na Sheila akisimama na kumfwata Sheila aliye simama mbele ya video camera na kumkumbatia kwa nyuma huku wote wakipunga mikono yao kwa mtazamaji kwa ishara ya kumuaga mtazamaji.
“Hii movie imeniingizia pesa nyingi sana,japo mara ya kwanza ilinipa shida katika uchezaji wake”
“U…nata…ka kusema hii ni m…ovie?”
“Ndio ni movie ila hao jamaa nilio cheza nao ni Wamarekani na sio Watanzania….”
Nikashusha pumzi taratibu huku nikimgeukia Sheila na kumtazama machoni,tukatazamana kwa dakika kadhaa kisha nikayarudisha macho yangu kwenye kiooo cha Tv(Luninga) na kukuta kioo kimeandika SAMSUNG DVD ikimaanisha ni jina la deki hiyo na CD niliyo iweka imefikia mwisho
“Sheil bado sijakuelewa…….Unataka kusema hii ni Movie?”
“Ndio jamani ni movie hiyo na hiyo CD uliyo itazama ni CD ya DEMO?”
“DEMO…..Demo ndio nini?”
“Eddy kwa ujanja wako wote unao onekana unataka kusema wewe huijui DEMO ni nini?”
“Ndio maana nikakuuliza”
“Ok…..Demo ni kipande cha kazi au kazi nzima ya filamu kikiwa hakijafanyiwa marekebisho au kimefanyiwa marekebiho tayari ila si rasmi katika kuuzwa”
“Hapo kidogo nimekupata pata…..Sasa hii movie si mumecheza uchi kabisa?”
“Ndio kama nilivyo kuambia pale mwanzoni kuwa hii filamu ilinipa shida sana katika kuicheza na hicho ulicho kitazama ni kipande kifupi tuu.Mkanda wenyewe upo chumbani kwangu”
“Sasa kwa nini uliamua kucheza filamu kama hiyo ambayo ni kinyume na maadili ya Kitanzania?”
Sheila akaanza kunitazama kwa macho ya unyonge kisha akanyanyuka na kukaa mbele yangu kwenye meza na akanyanyua glasi ya maji ya kunywa na akapiga mafumba mawili ya maji kisha akakohoa kidogo kulisuuza koo lake kisha akainama kidogo huku mikono yake akiiweka juu ya mapaja yake na kuikutaniha kwa pamoja na kuanza kuminya minya vidole vyake kimoja baada ya kingine
“Eddy katika maisha kuna vitu vingi ambavyo wanadamu huwa tunapitia…..Hii yote ni ili tupate mafanikio ambayo yanaweza kukufanya ukaishi maisha uyatakayo”
“Ni kweli ila sijajua ni kwanini ulichukua maamuzi kama hayo ya uchezaji wa filamu za uchi?”
“Eddy japo leo ndio siku ya kwanza kuonana mimi na wewe ila nimetokea kukuamini na utakuwa ni mtu wa kwanza kujua historia ya maisha yangu ila nitakuadisia kwa ufupi tuu na sinto hitaji maswali mengi……..Nimeishi na bibi yangu tangu mimi nipo mdogo na kwa kipindi chote nilichokuwa nikiishi na bibi yangu sikuwahi kusikia story zinaso husu wazazi wangu.Kasi kwamba ikafikia hatua nikawa ninamlazimisha bibi yangu niweze kuwajua wazazi wangu.Sinto isahau siku ya Octobar 5,hii siku inanikumbusha mambo mengi ambayo kusema kweli yananiumiza”
USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE NAOMBA TAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA YA KUKUSOGEZEA SIMULIZI
KWA USHAURI NA MAONI ANDIKA HAPA:
Inbox: Messanger
Email: ZephilineEzekiel@Gmail.Com