SORRY MADAM (20)

Zephiline F Ezekiel
SEHEMU YA ISHIRINI
ILIPOISHIA...
Nimeishi na bibi yangu tangu mimi nipo mdogo na kwa kipindi chote nilichokuwa nikiishi na bibi yangu sikuwahi kusikia story zinaso husu wazazi wangu.Kasi kwamba ikafikia hatua nikawa ninamlazimisha bibi yangu niweze kuwajua wazazi wangu.Sinto isahau siku ya Octobar 5,hii siku inanikumbusha mambo mengi ambayo kusema kweli yananiumiza”

NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU

SASA ENDELEA...
Sheila alizungumza huku machozi yakianza kumchuruzika taratibu huku akiendelea kuviminya minya vidole vyake taratibu akachukua tena glasi ya maji na kunywa kidogo kisha akaendelea kuzungumza

“Sku hiyo bibi yangu alianza kuugua,nikamkimbiza hospitali ya Muhimbili na uchunguzi wa madaktari ulionyeha kuwa bibi yangu moyo wake ni mkubwa tofauti na kiasi chamoyo unavyo takiwa kuwa.Wakaniambai kuwa ninahitajika kufanya utaratibu ili niweze kumpeleka nchini India kwa matibabu zaidi…..Nakumbuka kipindi icho nilikuwa nipo katikati ya mtiani wa kumaliza kidato cha nne.Sikuwa na jinsi zaidi ya kwenda kwa rafiki wa bibi zangu ambao walikuwa ni manesi wezake, Huwezi kuamini wale rafiki zake walitoa visingizio vingi sana ikimaanisha hawataki kumsaidia rafiki yao……Na wengine wakaanza kuzusha eti bibi ni mchahwi na kwakipindi chote nilicho ishi na bibi yangu sikuwahi kumuona ndugu yake hata mmoja akikanyaga katika nyumba tunayo ishi na pia sikuwahi kumuona bibi akikosa kuhudhuria Kanisani siku za jumapili……Eddy kuanzia hapo ndipo ndipo nilipo anza kuamini kuna watu na viatu humu duniani kwani nilikwenda kanisani kuonana na mchungaji wa kanisa ambalo bibi alikuwa akisali na alikuwa mzee wa kanisa na mimi pale nilikuwa ninafahamika sana kutokana nilikuwa muimbaji mzuri wa kwaya na mmoja wa wanamaombi katika kanisa lile.Mchungaji akaniahidi kunisaidia swala la bibi yangu ila akanipa sharti moja ili aweze kunisaidia”

“Lilikuwa ni sharti gani?’”
“Mmmm aliniomba nimpe penzi ndio amsaidie bibi yangu….Kutokana bibi yangu alikuwa na hali mbaya nikaona sina ujanja katika hilo ikanilazimu nimvulie chupi mchungaji na akawa mwanaume wangu wa kwanza kumvulia chupi……Eddy huwezi kuamini yule baba hakunipa hata shilingi kumi na mbaya zaidi akatangaza kanisani kuwa mimi ninamlazimisha kufanya naye mapenzi na ikafikia hatua kanisa likanitenga.Niliumia sana tena sana,hali ikazidi kuwa mbaya pale nilipofika nyumbani na kukuta nyumba tunayo ishi imefungwa na makufuli mengine na benki waliitaifisha kwa madai bibi yangu alikwenda kukopa shilingi milioni hamsini na takribani miaka mitatu ilipita na hakuweza kurejeha kiasi walicho kubaliana kwa mwenzi.Na nilipo muuliza bibi juu ya mkopo huo akasema ni kweli.Ila alisema aliweka milioni 45 DESI naamini unaikumbuka ile benki ya kuweka na kuvuna baada ya miezi mitatu?”

“Ndio ninaikumbuka”
“Basi pale bibi yangu alikwenda akaziweka hizo pesa na hakuna kilicho tokea katika kuzirejesha kiasi kwamba bibi yangu ndipo alipo anza kupata matatizo hayo ya moyo”
“Ilikuwaje hadi benki wakamkopesha pesa zote hizo?”
“Kusema kweli hata mimi sijui ni kwanini walimkopesha kiasi hicho cha fedha…..Baada ya hapo nikaanza kujihisi mabadiliko katika mwili wangu na kwakipindi hicho nilikuwa nikiishi kwa jirani zangu huku nikiendelea kulishuhulikia swala la bibi.Kunasiku nilianguka kwenye chumba cha mtihani wa mwisho wa kidato cha nne na kukimbizwa hospitalini nikajulikana nilikuwa ni mjamzito wa wiki moja na nusu.Nilizidi kuchanganyikiwa kwa uchungu na sikua na jinsi ikanibidi niweze kuitoa mimba aliyonipa mchungaji japo natambua nilifanya kosa mbele za Mungu ila sikuwa na jinsi…..”

Sura ya Sheila ilitawaliwa na machozi na kunifanya na mimi kwa mbali achozi kunilenga lenga kwani kwa jinsi nilivyo mchukulia baada ya kuiona CD yake sivyo alivyo

“Nilitumia kidonge Fulani katika kuitoa mimba yangu hata jina silikumbuki la kidonge hicho alichonipa dokta mmoja aliyekuwa akifanya kazi na bibi…..Lengo la dokta lilikuwa ni kunitaka kimapenzi na baada ya mimba kutoka akaniomba anisafishe ili kizazi changu kisiharibike…Ila kipindi anamaliza kunisafisha aliniingilia kinguvu hadi akafanikiwa kunibaka….Basi ilinibidi nianze kufanya kazi ya kuuza mwili wangu huku pesa ninayo ipata ninamlipia bibi pesa ya kukaa wodini kwani hata ningesema nimrudishe nyumbani hatukuwa na pakuishi……Mwaka jana mwezi wa pili nikakutana na hao jamaa kupitia Facebook na wao ni waongozaji wa movie za ngono wanao chipukia nchini Marekani……Nikawasiliana nao na nikawaelezea maisha yangu kuwa nina mgonjwa nina muhudumia ikawalazimu wao kuja huku Tanzania kwani walinihitaji mimi niwafwate kule na wakakodisha nyumba hii na kulipa pango kwa miaka mitatu.Ndipo hapo nikajikuta nikiigiza filamu hiyo ili lengo langu bibi yangu nimuuguze apone……..Siku ambayo ninatoka kuwasindikiza jamaa Airport na tayari walisha nipa changu ndipo nesi mmoja akanipigia simu na kunipa taarifa kuwa bibi yangu amefariki dunia”

Nikajikuta nikishusha pumzi taratibu huku jicho mmoja likichuruzikwa na machozi na kujikuta nikitoa kitambaa na kujifuta machozi
“Eddy nililia sana tena sana kwani juhudi zangu za kuuza mwili wangu na kufanya shunguli za kishenzi ila sikuweza kutimiza adhima yangu ya kuyaokoa maisha ya bibi yangu…..Inaniuma tena sana”
Sheila alizungumza kwa uchungu na kuitupa glasi ya maji chini na kunyanyuka na kuanza kuikanyaga glasi hiyo kwa kutumia miguu yake iliyo vaa kandambili(malapa).Ikanibidi nimshike kwa nyuma Sheila kumzuia kuendelea kuikanyaga galsi hiyo kisha nikamnyanyua na kumlaza juu ya sofai kaba sijanyanyuka akanivuta shati na tukabaki sura zetu zimesogeleana huku kila mmoja akimwagikwa na machozi.Nikaushusha mdomo wangu taratibu kuelekea zilipo lipsi za Sheila ila akaukwepa mdomo wangu na kujikuta mdomo wamgu ukitua kwenye shavu lake.

“Samahani Sheila”
“Hapana hujanikosea”
Sheila akaniomba anyanyuke kisha taratibu akanishika mkono na kuninyanyu na kuelekea chumbani kwake.Akanikalisha kitandani na kufungua droo yake na kutoa Laptop na kuja nayo kitandani akaiwasha na akaanza kufungua fungua mafile na kuweka filamu aliyo icheza.
“Hii filamu walinitumia kwenye mtandao baada ya kumaliza kuifanyia Editing”
“Na walikulipa kiasi gani?”
“Ni siri yangu nimekuamini kwenye mambo mengine ila sio pesa”
“Kweli ni ngumu kuniamini mimi kwani ndio leo tumekutana na nikapata bahati ya kuyajua masha yako ya kiundani”
“Ni kweli uacho kizungumza”
“Hivi yule jamaa ulimkata uume wake kweli au?”
“Hapana kuna vitu walifanya wakampaka paka kama damu kisha ile niliyokuwa ninakula iliyokaa kama uume ilikuwa ni keki iliyotengeneza kwa mfano wa uume”
“ Weee inamaana sio uume wa kweli uliokuwa ukiutafuna madomoni?”
“Ndio sio kweli mambo mengine wezetu wapo mbali katika maswala ya utengenezaji wafilamu”

Tukaendelea kutazama filamu ya ngono aliyo cheza Sheila na kunifanya taratibu hamu ya kufanya mapenzi kuanza kunipanda na kujikuta mkono wangu mmoja nikiupeleka kwenye kifua chake na kuanza kuyachezea maziwa yake yaliyo jazia vizuri kuanza kuyaminya minya taratibu,Sheila akanitazama kwa sekunde kadhaa kisha akaushika mkono wangu uliopo kwenye kifua chake na kuuweka pembeni kwenye kitanda na akanyanyuka kitandani na kufungua kabati lake na kurudi akiwa na pakti za tano za kondom

“Eddy natambua wewe ni mwanaume rijali ambaye ukiona vitu kama hivi ni lazima usisimke mwili wako…..Nakupenda na sitaki nikuaribie maisha yako kama yalivyo haribika ya kwangu japo hujanisimulia historia ya maisha yako”
“Sijakuelewa bado?”
“Nina maana yangu kuzungumza hivyo nahitaji nijue maisha yako kiujumla na wazazi wako?”
“Ahaaa mimi nimezaliwa katika familia ya maisha ya kawaida sana,Mama yangu ni mwalimu na baba yabgu nimuuza nafaka….Hsafiri kwenda mikoani kununua magunia ya mchele,nahindi na vitu vitu vingine na huvileta hapa Dar na kuviuza na kwetu mimi nipo peke yangu”
“Ahhh kwa hapa Dar unaishi wapi?”

Ilinilazimu kumdanganya Sheila kwani katika maisha yangu huwa sipendi kumuadisia mtu juu ya ukweli wa wazazi wangu na uwezo walio nao.Sheila akasimama na kuanza kuvua nguo moja baada ya nyingine na akabaki kama allivyo zaliwa kisha na mimi nikazivua nguo zangu kwa haraka na kubaki mtupu.Sheila akaishika Koki yangu na kuanza kuinyonya ratatibu huku akizilamba lamba kokwa zangu zilizopo chini ya koki yangu na kuifanya mwili mzima kusisismka kwa raha.Nikamlaza kitandani na kuyapanua mapaja yake na taratibu ulimi wangu nikaanza kuupeleka kwenye ikulu yake ila Sheila akajiziba na mkono
“Usininyonye”
“Kwa nini?”
“Huwa sipendi kunyonywa”

Ikanilzimu kuingiza kidole kimoja kwenye ikulu yake na kuanza kukichezesha kwa utaalamu mkubwa na kumfanya Sheila kuanza kutoa vilio vya raha.Sheila akatoa kondom kwenye kipakti chake na kunivisha kisha akaishika koki yangu na kuingiaza kwenye ikulu yake taratibu huku miguu yake akiwa ameipanua.Shuhuli ikaanza taratibu huku nikiwa na hamu ya kummuonyesha Sheila ujuzi nilio nao kwenye mambo ya mechi za wakubwa kwani kwa jinsi filamu yake inavyo onyesha ni mjuzi na mtaalamu wa haya mambo kupita maelezo

Mechi ikawa ni piga nikupige kila mmoja akijitahidi kumuonyesha mwenzake shughuli pevu kiasi kwamba ndani ya dakika arobaini na tano tuajikuta miili yetu ikiwa imelowana kwa jasho kiasi kwamba shuka tulilo lilalia limelowa kwa jasho letu na Sheila akajikuta amenilalia kifuani kwagu baada ya mzunguko wa kwanza kuisha

“Eddy”
“Naam”
“Mmmm nimekukubali”
“Umenikubali na nini?”
“Shughuli unaijua”
“Wewe mwenyewe umenipeleka”
“Mmmm wewe ndio umenipeleka hadi pumzi zikawa zinaniishia……Tangu nianze kuwajua wanaume skufichi wewe ndio umenifikisha pale ninapo pataka”
“Kweli?”
“Kweli Eddy…..Sijawahi kumsifia mwanaume ila kwako nimelazimika kufanya hivyo”
“Kwa nini walikuwa hawakufikishi?”

“Kipindi nilipokuwa ninafanya biashara ya kujiuza tulikuwa tunafanya mapenzi kwa muda ili mtu uweze kuwahi wateja wengine,Kwahiyo ile ladha yenyewe ya mapenzi mtu ulikuwa huipati kutokana kuna mikaao ukimuwekea mwanaume hazipiti dakika hata kumi ni lazima akojoe”
“Eheeee!”
“Kweli na mimi leo nimejitahidi kukuwekea wewe ila mikao yote umeweza kujizuia hadi mimi mwenyewe nikawa nimechoka kupita maelezo”
“Pole”

“Asante mwaya…..Unajua katika swala zima la kupeana raha siku zote kila mwanamke anahitaji watu wa aina yako wanaume wengi huwa hawawafikishi wake zao kikamilifu……Utakuta mwengine anajizuia vizuri ila ni mvivu kupita maelezo akikuweka mikao miwili basi unamkuta anahema kama bata mzinga na shuguli yote anakuachia mwanamke”
“Sheila wewe kiboko lakini….Kuna mkao wako Fulani umeniwekea nikajiuliza hivi hapa sinto kuvunja shingo kweli ila nimejikuta nimeridhika”
“Mkao upi?”

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE NAOMBA TAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA YA KUKUSOGEZEA SIMULIZI

KWA USHAURI NA MAONI ANDIKA HAPA:
Inbox: Messanger

Chapisha Maoni