SORRY MADAM (23)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (23)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA ISHIRINI NA TATU ILIPOISHIA... Nikaifungua kamba iliyo nielekeza Sheila na kusababisha turubai lililo funika gari lake kufunguka na macho yangu yakakutana na gari aina BMW ambayo tangu niijue Tanzania na kutembea kwangu sikuwahi kuiona MBW ya muundo huu NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... “Duuuu hii ngoma bei gani?” “Jamaa wameniambia ni laki mbili na nusu za kimarekani” “Kudadadeki ni kama Milioni 400 za Kitanzania ” “Ndio maana yake” “Funguo yake iko wapi?” “Unataka twende nalo?” “Ndio” “Eddy hatuta kamatwa na polisi?” “Si imesajiliwa kila kitu?” “Ndio” “Basi kalete funguo yake” “Ipo hapo hapo kwa juu kwenye vidude vya kuzuia jua” Nikafungua sehemu aliyo nielekeza Sheila na kukuta funguo ikining’inia na haraka haraka nikaichomeka kwenye sehemu yake na kuizungusha funguo yake kama ninavyo washa magari ya kawaida ila cha kushangaza gari halikuwaka “Mbona haliwaki sasa?” “Kwani ni lako hadi liwake?” “Ehee hembu n…