SORRY MADAM (28)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE ILIPOISHIA... “Wewe ndio uliye mleta huyu mgonjwa?” “Ndio” “Nifwate ofisini” Nikaongozana na Mzee mmoja aliye valia koti jeupe na tukaingia ofisini kwake na nikakaa kwenye kiti nilicho kikuta na yeye akakaa kwenye kiti chake NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... “Hali ya mgonjwa wako sio nzuri kwani kwa uchunguzi wa Utrasound tumegundua mfuko ake wa uzazi umepata mstuko na kupelekea mzunguko wa kiumbe kilichopo tumboni kwake kuhama kwenye njia” “Dokta nenda kwenye point maswala hayo mengine hembu yaache.Je mgonjwa wangu atapona au haponi” “Atapona ila itatulazimu tumfanyie upasuaji mdogo” “Utagharimu kiasi gani cha pesa?” “Laki saba” “Haaa kwenye hiyo lakisaba mtoto atakuwa hai au amekufa AU kuna chenchi ambayo itarudi?” “Hapa tunahitaji tumfanyie huo upasuaji leo hii la sivyo tunaweza kumpoteza mama na mtoto” “Hakuna punguzo la hiyo pesa” “Kijana hiyo ni kwa opareseni ndogo” “Hujuanielewe wew…