SORRY MADAM (32)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA THELATHINI NA MBILI ILIPOISHIA... Nikanyanyuka kitandani na kufungua dirisha na kuchungulia kwa chini nikiangalia watu wanao ingia na kutoka ndani ya hospitalini hii.Mawazo ya ajabu yakaanza kunitawala akilini mwangu na gafla nikamuona mama kwa chini akiwa amekaa pembeni ya jeneza huku akiwa amevalia nguo yeupe huku puani akiwa na pamba na akaanza kuniita huku akilia kwa uchungu kiasi kwamba nikaanza kuchanganyikiwa NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Kwa nyuma yake akatokea mtu mwenye nyundo kubwa na kuinyanyua juu na kuanza kumshindilia nyondo za kichwani na kusababisha damu kuruka na mtu huyo akaanza kucheka huku akuninyooshea kidole.Kwa hasira nikapanda kwenye dirishana kabala sijajirusha nikastukia nikishikwa kwa nyuma na kuaza kuvuta na madaktari wawili wa kiume “Eddy mume wangu nini unataka kufanya....Kwa nini unataka kujiua,Eddy nakupenda tena nakupenda sana mume wangu kwa nini jamami?” She…