SORRY MADAM (36)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA THELATHINI NA SITA ILIPOISHIA... Sheila akasimama na kwenda kumuita daktari aliye kabidhiwa kwa kuniangalia kwa ukaribu sana.Sheila akaanza kumuelezea dakatari hali ninayojisikia na kumfa ya daktari kutoa agazo kwa wezake wanifanyie uchunguzi zaidi. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Wakanipeleka kwenye chumba cha X-reys na wakaniweka kwenye mashine kubwa iliyokaa kama mfumo wa jeneza na kunipitisha kwenye mitambo yao na kutokea upande wa pili wa sehemu hiyo na wakanitoa kwenye kifaa chao na kunirudisha wodini na kumuomba Sheila kubaki na madaktari kwa mazungumzo zaidi.Baada ya muda Sheila akaingia huku akiwa na sura ya unyonge iliyo anza kunipa wasiwasi kiasi kwamba nikajikuta ninaaza kupata wasiwasi na mimi “Sheila wamekuambiaje?” Badala ya Sheila kunijibu akaanza kulia na kuzidi kunichanganya na sikujua ni nini kinacho mliza. “Eddy ninakupenda sana mume wangu” “Sawa hata kama unanipenda ila niamb…