SORRY MADAM (38)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (38)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA THELATHINI NA NANE ILIPOISHIA... Nilizungumza na Sheila akanielezea kisa kizima na alidai kuwa ameonewa kwa maana tangu siku ambayo wewe ulipelekwa katika chumba cha kufanyiwa oparsheni ndio siku ya yeye alipo kamatwa na polisi kwanza akashikiliwa kwa kosa la kutaka kumuua mkuu wa jeshi ila kutoka na ushaidi kutoka kwa manesi na madaktari ukamsaidia sana Sheila kuishinda kesi ya kumjerehi baba yako ambaye alitaka kukuua hadharani” NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... “Ina maana baba yangu yupo hai?” “Ndio yupo hai na nimiongoni mwa watu walio nipa vitishi endapo nitaendelea kulifwatilia hili swala.......” “Mama yangu je yupo hai?” “Mama nilipata habari kuwa amelazwa nchini Afrika kusini kwani alipata ugonjwa wa mstuko wa moyo na hadi sasa hivi sijajua anaendeleaje” Nikashusha pumzi nyingi huku nikijaribau kusubiria ni nini kilitokea katika maisha yangu ila sikupata pichaya aina yoyote “Ishu ilikuwa hiv…