SORRY MADAM (39)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA THELATHINI NA TISA ILIPOISHIA... Nikabaki nikiwa ninatetemeka kwa hasira kiasi kwamba nikajihisi michuruziko ikinitoka puani kwangu na matone baadhi yakadondoka kwenye mapaja juu ya nguo za wauguzi nilizo zivaa na kugundua kuwa ni damu ndio zimenitoka puani na sikujua zimesababishwa na nini kwani ndio mara yangu ya kwanza kutokwa na damu za puani. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... John akanipa kiatambaa chake na kujifuta damu zinazo nitoka na askari akasimamisha gari pembeni ya barabara na wakaniomba nishuke nipigwe na upepo wa wa halisi kulilo IC iliyo tawala ndani ya gari Nikashuka na kuinama chini na damu zikanitoka kidogo na chakumshukuru Mungu zikakata japo kichwa nikaanza kukihisi kikiwa kimetaliwa na maumivu makali “Unajisikiaje?” “Kichwa kidogo kina gonga” “Noja tukakutafutie dawa” ”Hapana twendeni air port” “Utaweza kweli Eddy?” “John usijali kwa hilo nitaweza tu” Tukaingia ndani ya gari na sa…