SORRY MADAM (40)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA AROBAINI ILIPOISHIA... Nikajinyanyua tararibu kitandani na kukaa kitako huku Salome naye akiliingiza begi lake la nguo na kuliweka pembeni na taratibu akakaa kwenye sofa lililopo ndani ya na kuanza kuminya minya vidole vyake vya mkononi huku sura yake akiwa ameilekezea chini akionekana kujawa na aibu kubwa ikanilazimu kuanza kumsalimia NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... “Mambo” “Powa vipi?” “Salama za huko utokapo?” “Mmmm....?” “Za huko utokapo vipi?” “Nzuri tu” “Karibu mbona unaona aibu?” “Eheee walaa Jose yupo wapi?” “Ahh amesafiri kikazi” “Mungu wangu sijui itakuwaje?” “Iakuwaje nini?” “Mmmm hamna mwaya” Nikanyanyuka kitandani huku nikiwa ninawenge la usingizi kidogo na nikaanza kuvinyoosha viungo vyangu huku nikipiga miyayo na kama kawaida ya wanaume wengi walio kamilika kimaumbile pale wanapo amka ni lazima koki zao husimama kuashiria ni siku mpya hii na ndivyo ilivyo kwangu jambo lililo mpelekea Salom…