SORRY MADAM (41)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (41)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA AROBAINI NA MOJA ILIPOISHIA... Nesi akatoka na kukiacha kisinia chake na askari akanyanyuka na kutoka nje na nikapata wazo la haraka nikaanza kutafuta kifaa kidogo kinachoweza kuingia kwenye shimo la funguo la pingu na kuchukua kijikifaa kidogo kilichopo kwenye sinia na sikujua kina kazi gani na kuanza kuifungua pingu niliyo fungwa kwa utulivu wa hali ya juu na chakumshukuru Mungu ikafunguka kisha nikashuka kitandani japo mwili umetawaliwa na maumivu makali ila nikajikaza na kuufwata mlango wa kutokea kwenye chumba nilichopo na kuwaona watu wakiwa wanaendelea na mishe zao. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Nikatoka ila kitu kilicho nichanganya sikujua askari ni wapi alipo elekea,nikaanza kutembea kwa umakini huku nikifwata sehemu yenye mlango wa kutokea na kwabahati nikamuona kwa mbali askari wa magereza akija kwa mwendo wa haraka huku mkononi mwake akiwa ameshika kifuko cheusi.Nikajibanza kwen…