SORRY MADAM (43)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (43)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA AROBAINI NA TATU ILIPOISHIA... Nikaingia kwenye mgahawa uliopo karibu na hospitali na kuagizia chakula ambacho nitaweza kukila na nikatafuta sehemu ambayo ninaweza kuuona mlango wa kuingilia katika hospitli na kabla sija letewa chakula nikaona taksi ikiwa imesimama kisha nikamshuhudia baba akishuka ndani ya gari akiwa ameongozana na wanaume wawili na katika taksi nikamuona Sheila akiwa amekaa siti ya nyuma. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Kwa haraka nikanyanyuka na kutoka nje ya mgahawa na kutokana na magari mengi ikanilazimu kuvunja seheria za barabara na kujikuta nikivuka kwa haraka barabara na kabla sijamalizia nikashtukia nikikumbwa na gari lililo nirusha na kuangukia pembeni ilipo simama taksi aliyopo Sheila Nikatulia chini kwa muda na kumuona Sheila akifungua mlango kwa haraka na kushuka ndani ya gari na akaonekana kunishangaa baada ya kunijua ni mimi,nikajaribu kujinyanyua ila nikajikut…