SORRY MADAM (44)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA AROBAINI NA NNE ILIPOISHIA... HAKUNA aliye lijibu swali la daktari zaidi ya kukaa kimya kimya na tukageukiana na kuendekea kutazama na kadri tulivyo zidi kutazamana ndivyo nilivyohisi ukweli wa maisha yangu juu ya baba yangu kwani kuanzia macho pua midomo na sura hakuna kilicho pishana na mwenzake kiasi kwamba machozi yakaanza kunilenga lenga huku moyoni mwangu nikijihisi amani na furaha iliyo kuba tofauti na ninavyo kuwa na baba yangu gaidi. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... “Jina lako ni nani kijana?” “Eddy” “Eddy nani?” “Godwin” Nikastukia mzee akinikumbatia kwa furaha huku akicheka kwa kicheko kikubwa cha furaha na akaninnyanyua juu kidogo na kuanza kunizungusha kisha akanisimamisha na kunitazama tena usoni huku machozi ya furaha yakimwagika na mimi nikajikuta nikiachia basabu pana “Dokta nahitaji vipimo vya DNA na huyu kijana” “Sawa ila inabidi na yeye aridhie” “Eddy upo tayari kwa hili?” “Ndio mz…