SORRY MADAM (5)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (5)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA TANO ILIPOISHIA... Mida ya saa tano nikasikia mlango unagogwa nikanyanyuka nikaitazama suruali yangu nikaikuta imekauka nikavaa na kwenda kumfungulia mtu anayegonga. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Nikakutana na msichana wa kidato cha pili ilikuwa ni rahisi kumgundua kwani katika shule yetu kila kidato wanafunzi wanavaa sare zao “Shikamoo” “Marahaba vipi?” “Safi wewe ndio kaka Eddy?” “Ndio” “Madam ameniagizanikuambie kuwa amelazwa katika hospitali ya shule ila anasema usiende mpaka atakapo kujulisha” “ Sawa hali yake ipo vipi?” “ Sio nzuri sana kwani alijisikia vibaya akiwa anatufundisha darasani kwetu ndio akapelekwa hospitali na Madam Rukia” “Powa mdogo wangu nashukuru kwa taarifa yako” “Sawa ila amesema usitoke toke kwenda kutembea kwani walimu wanajua umekwenda kwenu” “Powa..Dogo unamjua jamaa flani wa kidato cha tano anaitwa Jonh Magati?” “Hapana” “Powa mdogo wangu siku njema” “Na wewe pia” Mwanafunzi…