SORRY MADAM (6)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA SITA ILIPOISHIA... “Nilikuwa nakusubiri ni wewe tu kupeleka posa kwetu” Wote wakache natukatoka njee ya hospitali na kuelekea hadi shuleni.Moja kwa moja jamaa akanipeleka katika ofisi za mku wa shule hii ni baada ya kumuonyesha zilipo ofisi hiyo. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Kwa bahati mzuri tukamkuta mkuu wa shule tena akiwa pamoja na mwalimu Kikole katika ofisi yake,akasalimiana nao kisha wakamkaribisha kukaa katika kiti ila kaka Lucka akasimama na kuniomba mimi nikae katika kiti hicho “Samahani mzazi wa Eddy hatutoweza kuizungumzia kesi ya mwanao kwani muda wake wa kutumikia adhabu yake haujapita” Head master alizungumza kwa suti ya upole huku akimtazama Lucka ambaye kwa jinsi sura yake alivyoiweka katika hali ya umakini nikahisi mkuu wa shule pamoja na Mr Kikole wakiogopa “Sikuja kusikiliza kesi yake ila nimemleta aendelee na masomo sawa” “Ila kijana wako ni mkorofi” Mr Kikole alidakia na ku…