SORRY MADAM (8)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (8)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA NANE ILIPOISHIA... “Kwani ni saa ngapi Eddy?” “Saa kumi na mbili kasoro” Nikafungua mlango wa chooni nikachungulia nje,nikaona kupo salama hakuna mtu nikampiga busu Salome kisha nikatoka na kuelekee kwangu bwenini kwa ajili ya kujiandaa kwa ajili ya msomo . NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Nikamkuta John akiwa bado amelala sikutaka kumsumbua nikapanda kwenye kitanda changu ambacho kipo juu nikajilaza ili kuupuumzisha mwili ila nikakumbuka kuwa nimejikojole.Nikaivua suruali pamoja na boxer yangu japo kuna baridi kali ila ikanilazimu kwenda bafuni kuoga Nikarudi na kukuta watu wengeni wakianza kuva nguo za darasani huku wengine wakiwa wanaelekea kupiga mswaki “John vipi hembu amka kwanza?” “Eddy mwanangu nina umwa?” “Una umwa na nini?” “Eddy wee acha tu mwanangu jana yaliyo nikuta nimakubwa” Kwa jinsi ninavyo mjua John kweli nikagundua anauwmwa kwani hata kuzungumza kwake ni kwa shida “Sasa nikufanyie mpa…