SORRY MADAM (9)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (9)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA TISA ILIPOISHIA... “Alafu jana ninakuja kukustua kwenye vyoo kule mwangu upo na huyo demu wako ukanikaushia” “Unajua wewe ndio chanzo cha kunifanya nirudi hapa saa kumi na mbili” “Weee umerudi saa kumi na mbili?” “Ndio jana dogo alizimia” NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Mwalimu Mfumuko akaingia chumbani kwetu huku mkononi akiwa na fimbo ya munzi “Munafanya nini?” “Ticha jamaa anamalizia kuvaa mara moja” “Munajua nyinyi Adivnce muna jeuri sana.Munataka kuifanya hii shule kama wamejega baba zenu si ndio…….Nyoosha mkono” Mwalim mfumuko akaishika fimbo yake vizuri na kumchapa John fimbo mbili za mkononi.Kisha na mimi akanichapa fimbo mbili za mkononi “Sasa ole wenu niende nirudi niwakute hapa” Akatoka na kutuacha ndani,Nikabadilisha boxer nikvaa nyingine safi,Nikajipilizia BODY SPRAY mwili mzima kisha nikavaa nguo zangu na kujiweka sawa.Nikachukua begi langu la madaftari na safari ya kuelekea shule ikaanz…