SORRY MADAM (9)

0
SEHEMU YA TISA
ILIPOISHIA...
“Alafu jana ninakuja kukustua kwenye vyoo kule mwangu upo na huyo demu wako ukanikaushia”
“Unajua wewe ndio chanzo cha kunifanya nirudi hapa saa kumi na mbili”
“Weee umerudi saa kumi na mbili?”
“Ndio jana dogo alizimia”

NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU

SASA ENDELEA...
Mwalimu Mfumuko akaingia chumbani kwetu huku mkononi akiwa na fimbo ya munzi
“Munafanya nini?”
“Ticha jamaa anamalizia kuvaa mara moja”
“Munajua nyinyi Adivnce muna jeuri sana.Munataka kuifanya hii shule kama wamejega baba zenu si ndio…….Nyoosha mkono”
Mwalim mfumuko akaishika fimbo yake vizuri na kumchapa John fimbo mbili za mkononi.Kisha na mimi akanichapa fimbo mbili za mkononi
“Sasa ole wenu niende nirudi niwakute hapa”

Akatoka na kutuacha ndani,Nikabadilisha boxer nikvaa nyingine safi,Nikajipilizia BODY SPRAY mwili mzima kisha nikavaa nguo zangu na kujiweka sawa.Nikachukua begi langu la madaftari na safari ya kuelekea shule ikaanza kwani mabweni yetu yapo mita chache kutoka shule ilipo.Tukaingia kwenye darasa moja kwa ajili ya kujificha kwani wachelewaji waote wa mstarini wanachapwa na mwalimu aliye simama katika eneo amalo huona kila mwanafunzi anayeingia katika eneo la mastarini

“Eddy na mwenzoko muna fanya nini huku wakati wezenu wapo Assemble?”
Madam Rukia alizungumza huku akiiingia kwenye darasa tulilo jificha na kutufanya tukae kimya
“Alafu Eddy wewe mtoto mbona unamatatizo hivyo yaani hufananii na ukorofi unao ufanya?”
“Madam you know……”(Madam Unajua……)
“Najua nini wakati wewe umejificha na huyu mwenzako huku.Hembu waangalie macho yenu yanavyo wawaka kama ya bundi”
“Rukia wana tatizo gani hao?”
“Sir Masolwa hawa vijana nimewakuta wamejificha huku wakati wezao wapo mstarini”
“Njooni…..Tena huyo mrefu si ndio alimgomea mwalimu Kikole?”
“Ndio yeye mwalimu yaani huyu kijana sijui ana matatizo gani”

Mwalimu Masolwa akatuamuru tulale chini kisha kila mmoja akatuchapa fimbo nne nne za nguvu.
“Nahitaji mukafyeke nyasi zote zinazoelekea barabara ya getini.Mtafuteni kiranja was Stoo akawape makwanja na ole wenu mukimbie hiyo kazi mutanijua mimi ni nani.Poteeni mbele ya macho yangu”
Tukaondoka na kwenda mstarini na kukuta watu ndio wanachanguka kuelekea kwenye madarasa yao.Salome alipo niona akanifwata na tukasimama pembeni
“John yule kiranja yule pale muwahi basi atufanyie mpango wa makwanja”
“Eddy mambo mpenzi wangu?”
“Safi vipi kwema?”
“Kwema tu ulifika salama bwenini?”
“Ndio vipi wewe jana hamujahesabiwa?”
“Jana hatujahesabiwa nahisi Matroni aliogopa giza.Alafu mwezio bado nina hamu kama nini?”
“Usijali zitakwisha hapa tumepewa azabu ya kwenda kufyeka”
“Mume fanyaje?”
“Tumechelawa kuja hapa”
“Yaani Eddy mpenzi wangu natamani hapa nikirukie tufanye hata hapa”
“Hembu acha utoto..Claudia yupo wapi?”
“Anamalizia kudeki kibaraza cha bwenini kwetu”
“Ahaa powa bwana ngoja sisi tukafyeke tutaonana baadaye”
“Powa I love you”
“Love you too Salome”

Tukaachana kila mmoja akaelekea sehemu yake huku akili yangu ikianza kuifikiria ile ndoto mbaya niliyo iota,Kila nikimuangalia John ninajihisi kulia lia huku hali hiyo ikiwa sawa ninapo muangalia Salome.Tukaelekea sehemu aliyotuagiza mwalimu Masolwa kufyeka,Tukaanza kufyeka huku tukiwa tunapiga story
“Eddy yule Salome ni mtamu?”
“Tena sana nanilio yake inajoto kama nini?”
“Weee mjinga kweli kwani hizo naniliu za wengine hazina joto?”
“Joto lina tofautiana wewe kuna wengine joto lake si kali kivile na huwa hazina utamu kivilee ila za wenye joto hata kama hujui ku Duu lazima tuu kiuno kitacheza”
“Nyoo yako ni hayo tu”
“Vipi na wewe Claudia?”
“Ahhaa jana kazingua yule.Pale umeme ulivyo katika nikamfwata kule madarasani kwao.Nikashindwa kumuomba hata mchezo nikajikuta ninamuomaba tochi ndio niliyokuja nayo kule mulipo”

Nikaanza kumcheka John kwa sauti ya juu na kumfanya Mr Kikole anayepita katika barabara inayotoka getini kuelekea shule kunitazama.Kicheko kikazidi kuongezeka nilipo muona Mr Kikole na nikajikuta nikilikumbuka tukio lake la kujikojolea jana ofisini.Akanitazama kwa macho ya unyonge kisha akaendelea na safari yake ya kuelekea shuleni
“Mbona unacheka sana wewe kuomba tochi ndio unacheka kiasi hicho?”
“John sikucheki wewe”
“Ila?”
“Unajua jana si nilikuambia kuna story nitakuambia iliyonikuta ofisini?”
“Ndio”

Nikaanza kumuadisia John kila kilichomkuta Mr Kikole hata kabla sijamaliza John akakaa chini huku akicheka huku akipiga piga ngumi chini
“Eddy utanivnja mbavu zangu”
“Kweli John jana mtu mzima alilimwaga…..Tena alilimwaga pale bro alipojidai anapiga simu kambini akiomba msaada wa defender ili amchukue Best kumbe hata yule Kikole ni muoga”
‘Chezea mjeda nahisi kwenye akili yake alikuwa akifikiria jinsi ya kwenda kuruka kichura chura na pombe anazo kunywa angekufa”
“Alafu nasikia hanywi bia anakunywa matapu tapu?”
“Mwenyewe ndio ninavyo sikia”

Tukaendelea na kazi ya kufyeka huku tukipiga story mbali mbali ila nikajizuia kumuadisia John nilicho kiota.Hadi inafika mida ya saa nne bado hatukumaliza kufyeka eneo zima.Akapita Madam Rukia ikanibidi nimuite
“Madam wapi hiyo?”
“Ndio Kiswahili gani hicho?”
“Ok unakwenda wapi?”
“Unataka kujua ili iweje?”
“Nilidhani unakwenda kwa Madam Mery ninataka kwenda kumuona”
“Ninakwenda kwanza kwangu kisha nitakwenda kwa Mery”
“Kwani ametoka hospitli?”
“Amenipigia simu hii asubuhi kuwa amesharuhusiwa”
“Madam tunaomba basi twende tukamuone mara moja”

Madam Rukia akajifikiria kwa muda kisha akakubali,tukayaficha makwanja yetu kwenye michongoma kisha tukaongozana na Madam Rukia.Tukapita getini pasip kuulizwa na walinzi kwani tumeongozana na mwalimu ambaye yupo kwenye zamu
“Tena nimekumbuka twendeni kwangu mukanisaidie kubeba trey za mayai ili tuzipeleke kwa Mery”
“Sawa”
Tukaelekea nyumbani kwa Madam Rukia na akatukaribisha ndani kwake mabapo ni pazuri.John kitu cha kwanza alichokiwahi ni kuchukua PAD za gemu ya PLAY STATION ambayo mara nyinyi huchezwa kwa kupitia TV.Akawasha na kukuta ina CD ya Game ya mpira
“Oya Eddy njoo nikufunge funge”
“Utaweza”

Nikakaa karibu yake na kuchukua PAD nyingine na tukaanza kuchagua timu za kuchezesha huku Madam Rukia akiwa chumbani kwake hatukujua ana fanya kitu gani.Akatoka akiwa amejifunga tenge huku sketi yake ikiwa imechomoza kwa chini kwenye tenge lake
“Haya nahitaji mmoja wenu aje anisaidie kuokota mayai kwenye mabanda ya kuku”
“Eddy nenda mimi hapa nilipo ninajihisi vibaya vibaya”

Sikutaka kubishana na John taratibu nikanyanyuka na kuongozana na Madam Rukia hadi kwenye mabandaya ya kuku wake wa kizungu(Kuku wa mayai).Uzuri wa nyumba anayoishi Madam Rukia imezungushiwa ukuta mrefu ambao si rahisi kwa vibaka kuingia na kuiba kuku.Tukaanza kuokota mayai huku tukiyaweka kwenye kindoo kidogo
“Eddy nasikia wewe ni mtaalamu”
“Mtaalamu wa nini?”
“Ahhhaa unajua ila unataka kuwapa kuku faida”
“Sasa Madam kama ningekuwa ninajua si ninge sema”
“Hembu tutoke kwanza kwenye hawa kuku twende tukachukue trey za mayai”

Tukatoka nje ya banda la kuku na kuingia kwenye chumba kimoja kisicho na kitu kingine zaidi ya trey za mayai zipatazo hamsini
“Madam hapa unaishi na nani?”
“Peke yangu sema hii nyumba bado mpya ila siku si nyingi itahamia watu”
“Ni yako?”
“Hapana ni ya mzee mmoja hivi wa kichaga”
“Sawa”

Madam Rukia akanitazama kwa sekunde kadhaa huku akiwa kama anahitaji kuzungumza kitu ila akawa anashindwa.Akalifungua tenge lake na kubaki na sidiria huku akiniomba nimkune mgongoni.Nikaanza kumkuna mgongoni taratibu kwa kucha zangu ndogo ndogo.Akaniambia nishushe mkono hadi chini chini kwenye kiuno nimkune sehemu hiyo.Nikafanya huku nikimeza vijimate vya uchu,Taratibu nikaushusha mkono na kuuingiza kwenye sketi yake sehemu ya nyuma kwenye makalio yake.

Madam akageuka na kunishika shingo huku taratibu tukaanza kunyonyana denda,Nikamfungua sidiria yake na kuanza kuzitomasa chuchu zake taratibu taratibu.Nikaishika zipu ya sketi yake iliyopo nyuma na kuanza kuifungua kwa kwenda chini kisha sketi yake akaishusha haraka haraka huku nami nikivua shati langu la shule

“Oya mwanagu Eddy Tanesco wamekata umeme bwana”
Tuliisikia sauti ya John kwa nje na kunifanya nichungulie kwenye dirisha nikamuona John akiwa anaelekea kwenye mabanda ya kuku huku akichungulia chungulia ndani ya mabanda hayo akionekana kututafuta sisi

Tukavaa nguo zetu haraka haraka baada ya kuona tupo sawa nikachungulia dirishani na kumuona John akiwa amejishika kiuno huku hajui wapi tulipo
“Oya John sisi tupo huku”
“Ahhh mwanagu hukuwa unanisikia kipindi ninakuita au?”
“Sijasikia bwana tatiz lako wewe una wenge sana”

Nilizungumza huku nikitoka katika chumba tulichokuwa huku nikiwa na trey nne sisizo na mayai.Nikaingia katika banda la kuku na kuchukua kindoo kidogo kilicho na mayai kisha nikatoka nacho na kuanza kupanga yai moja baada ya jengine huku Madam Rukia akitoka akiwa ameshika trey mbili zisizo na mayai
‘”Wewe mbona umesimama humsaidii mwenzako katika kupanga mayai”
“Madam hapa nilipo nimechoka kama nini ninaogopa ninaweza nikayavunja hayo mayai ikawa ni kesi juu ya kesi”

John alizungumza huku akiwa anatafuta sehemu ya kukaa kabla hata hajakaa akasikia redio ya madam ikitoa sauti ya mziki
“Umeme huo umerudi ngoja nikamalizie mechi yangu”
John akatoka mbio na kutuacha mimi na madam tukicheka kwani kwa vitendo anavyo vifanya John ni sawa na mtoto mdogo wa kidato cha kwanza
“Hivi huyu mwenzako anaakili nzima”
“Ndio tena ndio anaye tushikia darasani”
“Ehhee makubwa basi mshauri akue aache utoto”
“Sawa”

Tukaendelea na kazi ya kuyapanga mayai kwenye tery huku mara kwa mara tukiwa tunatazamana kwa macho ya wizi wizi.Tukamaliza tukasaidiana kuzibeba trey hizo hadi kwenye meza ya sebleni kwake
“Alafu Eddy kama utahitaji kuoga bafu hilo hapo kwani ninakuona unatokwa na jasho”
“Sawa madam….Vipi chai tunakunywa au ndio siku inapita kavu?”
“Ngoja niwachemshie mayai mangapi mangapi yatawatosha?”
“Kumi kumi”
“Eddy mwenzako anakazi ya kuakia wakati hata kuokota yai hata moja kwenye banda hajaokota”
“Mwaya madam usimsikilize huy mayai mawili mawili yanatutosha”

Madam akaondoka akaingia kwenye chumba nikagundua kitakuwa ni jiko kwani nilisikia akigonganisha visufuria vinavyoonekana vimewekwa kwenye mpangilio usio mzuri.Nikaingia katika bafu alilo ninyesha Madam Rukia nikavua nguo zangu na kufungua maji ya bomba la mvua nikabaki nimesimama huku mawazo juu ya ndoto niliyo iota yakanijia upya

“Hivi si nilienda kuoga baada ya kupanda kitandani?”
Sikuwa na kumbukumbu za kutosha kama wakati nilipo panda kitandani kuupumzisha mwili wangu nilikwenda kuoga au usingizi ulinipitia na kuanza kuota vitu vya ajabu.

USIKOSE SEHEMU INAYOFUATA

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE NAOMBA TAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA YA KUKUSOGEZEA SIMULIZI

KWA USHAURI NA MAONI ANDIKA HAPA:
Inbox: Messanger

Chapisha Maoni

0Maoni
Chapisha Maoni (0)