SORRY MADAM (116)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA MIA MOJA KUMI NA SITA ILIPOISHIA... Ikanilazimu kumtoa Pretty kwenye mwili wangu, taratibu. "Ptetty" Nilimuuita kwa sauti ya upole, huku nikimtazama machoni mwake. "Mmmmm, nakupenda sana, ila ninakuomba kitu kimoja tu unisaidie kwa wakati huu" NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... "Kitu gani?" "Ninakuomba, uniruhusu nikaiweke familia yangu katika sehemu salama." "Eddy nimekuzoea sana. Ninakuomba twende wote" "No no, nitarejea mama, kwa ajili yako, ninakuomba uniruhusu katika hilo." Pretty akakaa kimya huku akinitazama machoni mwangu, machozi yakiendelea kumwagika usoni mwake. "Promise me"(Niahidi) "Nitarejea mpenzi, kwa ajili yako" "Kweli?" "Ndio" Ilinilazimu kutumia akili nyingi na busara kubwa kumdanganya Pretty la sivyo nisinge ondoka na hata ndege niliyo ibahatisha kwa ajili ya usafiri nisinge ipata. Pretty a…