SORRY MADAM (68)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (68)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA SITINI NA NANE ILIPOISHIA... Sote tukajikuta tulicheka, kwa maana sikutarajia kuwa hawa jamaa muda huu nitakuwa ninacheka nao kwa furaha kiasi hiki “Hapana jamani, ubabe nimeacha siwezi kumpiga mume wangu, mwenyeni ninampenda kama nini?” NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... “Ahaaa Dorecy leo unapenda, kwa maana ninakumbuka afande Nyendeza alikutongozaga kipindi tupo porini, acha umporomoshee mangumi” “Hahaaaa, yule alikuwa mwehu, Eti ananitongoza huku ananilazimisha kuninyonya denda hapo hapo, kwa nini nisimpige mangumi” “Ahahaa, jamaa tulikuwa naye hapa Chumbageni , ila alihamishwa mwaka jana kapelekwa Handeni huko” “Dooo, muache akakutane na watoto wa kizigua wamroge hadi akome” “Haaaha, na ule weusi lazima wamtengenezee carolaiti ya tura” Sote tukajikuta tukicheka kwa furaha kwani, mazungumzo ya hawa jamaa yamenifanya nijihisi mchangamfu gafla “Unajua yule ndio chanzo cha mimi kupelekwa JWTZ ?” “Weee” “Ma…