SORRY MADAM (76)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (76)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA SABINI NA SITA ILIPOISHIA... Nilizungumza kwa sauti kubwa, huku nikiendela kukikandamiza kisu kwenye tumbo la Dorecy ambaye muda wote machozi yanamwagika, kwa ishara Khalid akawaamrisha watu wake kutupisha, tukapita katikati yao huku muda wote nikiwa makini sana, nikiwatazama watu wa Khalid “Ila Eddy unacheza makida makida kwenye nyaza za umeme” NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Khalid alizungumza kwa kujiamini sana, sikujali maneno ya Khalid zaidi ya kumuamrisha Dorecy kutembea kuelekea nje.Tukafunguliwa mlango na walinzi wake baada ya Dorecy kuwaamrisha waweze kufanyan hivyo. “Magari yenu yapo wapi?” Nilimuuliza Dorecy kwa sauti ya ukali, taa kubwa lililopo katika jumba hili likawa na kazi ya kutumulika kila sehemu ambayo tunakwenda, macho yangu yote yakawa na kazi ya kutazama kila sehemu ya jengo hili kuangalia walinzi walio jipanga huku wote bunduki zao zikiwa kwetu, Dorecy akanionyesha moja y…