SORRY MADAM (79)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (79)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA SABINI NA TISA ILIPOISHIA... Simu ya jamaa ikaita, akaitoa kwenye koti lake, akaipokea nakuiweka sikioni mwake, akazungumza kwa lugha ya kiarabu, nikastukia kumuona jamaa akichomoka kwa kasi, ndani ya chumba pasipo kuniona nyuma ya mlango, ving’ora vya gari za polisi, nikaanza kuvisikia na kunifanya nishushe pumzi nyingi, na kujikalia chini, huku jasho jingi likimwagika. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Ndani ya dakika kadaa askari kadhaa wakawa wameingia katika sehemu tulipo, dorecy na phidaya wakatoka bafuni, askari na madaktari walio salimika katika vamizi la majambazi hawa                                                                                                   *** Wagonjwa tulio salimika tukahamishwa kwenye hospitali moja, inayo milikiwa na jeshi la nchi ya philipines , matiibabu yangu hayakuchukua muda mrefu sana, nikaruhusiwa kutoka hospitalini na kuhamia kwenye hoteli ambayo phida…