SORRY MADAM (80)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (80)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA THEMANINI ILIPOISHIA... “mke wangu saa hizi, saa kumi na mbili na nusu, nitalala nini?” Phidaya akajifunika kwashuka gubigubi, kwa jinsi ujauzito wa mke wangu ulipo fikia, unampelekesha kama mtoto mdogo kwani kila analo lifanya nikituko kwangu. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Asubuhi namapema nikakutana na john kwenye mgahawa uliopo chini ya hoteli hii, akaanza kuniadisia kila kitu amcho kilitokea kwapindi kizima nilipokuwa sipo nchini tanzania “mama, yupo salama kabisa na nijuzi kati tu, hapa nilikuwa naye kwenye ndege yetu inayo elekea tanzania, alikuja huku kwa mambo yake binafsi” “ehee ilikuwaje?” “siku ambayo ilikuwa ni graduation(mahafali) yakumaliza kidato cha sita ndipo, siku ambayo nilikutana na mama wakati wausiku.Ile siku nakumbuka ilikuwa nijumamosi, wakati wausiku nilikuwa na demu mmoja sidhani kama utakuwa unamfahamu” “alikuwa ni mwanafunzi?” “ndio, anaitwa catherina?” “simkumbuki” “nah…