SORRY MADAM (85)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA THEMANINI NA TANO ILIPOISHIA... Sauti ya victoria ilisikika, alizungumza kwa dhara kubwa sana.Sikutaka kumjibu chochote, nikaikata simu, na kuingia kwenye mtandano wa goole, nika ‘download’, apps inayoitwa google map pamoja na ‘ mobile location tracker ’, inayo saidia kujua ni wapi namba ya simu iliyo pigwa inapatikana. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Nikaiingiza namba ya simu iliyo nipigia, kitendo cha dakika moja nikafanikiwa kuletewa alama inayo onyesha ni wapi namba hiyo ya simu ipo na kuna umbali gani kutoka hadi sehemu nilipo.Nikatoka nje ya kupanda pikipiki yangu, na kuondoka kwa kasi, huku nikifwata jinsi simu inavyo nielekeza sehemu ninapoweza kuwapata john na victoria Ndani ya nusu saa nikawa nimefika kwenye moja ya mtaa, wenye watu wengi wanao onekana ni wavuta bangi, na sehemu niliyo simama pembeni kuna kundi la vijana walio choka choka na maisha, huku mmoja akiwa aimeishika simu amb…