SORRY MADAM (86)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA THEMANINI NA SITA ILIPOISHIA... Madam Merry alizungumza kwa sauti ya juu, yenye uchungu ndani yake.Akalitupa chini panga lake alilokuwa amelishika.Machozi mengi yakaanza kumbubujika usoni mwake, John na Vivtoria wakabaki wakimtazama madam Mery, ambaye taratibu alianza kupiga hatua za kuelekea kwenye gari lake alilo kuja nalo NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... “Madam Vipi?” John alizungumza huku akimwafwata madam Mery kwa nyuma “John ninakuomba uniache” Madam Mery aluzungumza huku akiunyanyua mkono wake mmoja akimzuia John asimfwae anapo elekea “Ila madam haya sio makubaliano yetu” “John sipo sawa nimekuambia usinifwate” Madam Mery alizungumza kwa sauti ya ukali, huku machozi yakiendelea kumchuruzika usoni mwake. “Sasa Madam tumfanye nini Eddy ?” Madam Mery akageuka kwa hasira, hadi John akastuka kidogo, akanitazama jinsi machozi yanavyo nimwagika, akayafumba macho yake kwa sekunde kadhaa, akionekana akif…