SORRY MADAM (87)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (87)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA THEMANINI NA SABA ILIPOISHIA... “Dakika zinakwisha shemeji” Phidaya akajiinamia chini, kisha akanyanyanyua kichwa achake na kunitazama tena kwa mara nyingine pasipo kuzungumza kitu cha aina yoyote. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Akamrudishia John saa yake kisha, akanyoosha mkono wake kwa John akiashiria kwamba kuna kitu anakiomba “Nini?” John alimuuliza Phidaya aliye baki amemnyooshea mkono mmoja pasipo kusema kitu cha aina yoyote “Kisu” John akatabasamu na kuchagua kisu kikubwa kiasi chenye ncha kali na kinacho ng’aa, akamkabidhi Phidaya, aliye kishika vizuri na kuanza kupigha hatua hadi sehemu niliyo lala, macho yangu yakanitoka kwani sikuelewa Phidaya anataka kufanya kitu cha aina gani “Eddy ninakuomba unisamehe, nafanya hivi kwa ajili ya mwanangu aliye tumboni mwangu, ninaimani nizawadi tosha uliyo nipatia mimi” Phidaya alizungumza huku machozi yakimwagika usoni mwake na kunitazama kwa macho mak…