SORRY MADAM (88)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (88)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA THENAMINI NA NANE ILIPOISHIA... Maneno ya Mzee Godwin yakaendelea kujirudia kwenye akili yangu, siku hii alikua akinifundisha kulenga shabaha kwa kutumia bastola take tukiwa shambani, tulipo kwenda kuwinda nguruwe pori waliokuwa wakila mihogo yetu ‘Jitahidi kumuomba Mungu mwanangu kwani yeye ndio muweza wa kila jambo, usimruhusu shetani akaitawala roho yako’ NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... Mana alijitahidi kadri ya uwezo wake kunishawushi kuwa kijana mwema. Maumivu makali yaliyo changanyika na uchungu moyoni mwangu, yakaanza kunitawala, hapa ndipo nilipo gundua, maisha yangu yameharibika kwa kufwata maneno ya baba, na kuyaacha maneno ya mama, ambae siku zote alinihasa niwe kijana mwema, mbaya zaidi baba niliyekua nikimuamini kwa kila alicho niambia, mwisho wa siku amekuja kya adui yangu namba moja, hii ni baada ya kugundua kwamba mimi sio mtoto wake, bali ni wapacha mwenzake Siku zikasonga mbel…