SORRY MADAM (89)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (89)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA THEMANINI NA TISA ILIPOISHIA... Tukapanda kwenye farasi, na kuindoka katika eneo tulilo kuwa. Tukàfika karibu na kijiji, nikashuka kwenye farasi na kumuacha Lutfia atangulie kududi, ili kuepusha hisia mbaya zitakazo jengwa miongoni mwa wanakijiji, dhidi yetu. Nikafika kwenye kijumba changu, sikuingia ndani nikatafuta mti uliopo karibu na kijumba changu nikapanda, kutokana ni usiku sikuhitaji nilale ndani, kwani bado nimapema. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... “Nimepakbuka nyumbani” Nilijisemea kimya kimya “Nitarudije lakini?” “Hakuna jinsi nilazima nitoroke hapa ki…..” Nikastushwa na mlio mkali wa king’ora kilichopo hapa kijijini, moti mkali kutoka kilipo kijiji, ukaniogopesha na kunifanya nikae kwa umakini, kuchunguza ni nini kinacho endelea, kelele za wamama na watoto zikazidi kurindina kijiji kizima, huku moto ukiendelea kuteketea. Kwa haraka nikashuka juu ya mti, nikaanza kukimbia kuelekea kili…