SORRY MADAM (93)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (93)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA TISINI NA TATU ILIPOISHIA... “Ahaaa” “Tena yule John , ana roho nzuri sana. Haswa yule mke wake.” “Chanzo cha baba, kua rafiki na yule John. Walitoa Hotel yao sisi kuishi tangu tunakuja hadi tulipo pewa nyumba, tuliyo andaliwa. Kwani balozi aliye pita kabla ya baba, alifariki kwa ajali ya ndege.” NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... “Kwa hiyo vitu vyake havikuamishwa, kwenye ñyumba tunayo ishi, sasa hivi. Ikatulazimu kuishi Hotelini, John akajitolea hoteli yake tuishi bure kwa kipindi chote” “Ahaaa” “Hata ile Hotel tunayo kaa sasa hivi ni ya John na mke wake” “Kweli?” “Ndio” “Kumbe nimatajiri dana ehee?” “Ndio nimatajiri sana, ila nasikia kwamba utajiri wao ni wakuridhi, kutoka kwa baba yake Victoria, ambaye kwa sasa ni marehemu” Nikastuka, huku nikimtazama Bruno, akili yangu ikaenda moja kwa moja katika tukio walilo lifanya John na Victoria kutaka kumuua baba yangu. “Huyo baba yake, Victoria anaitwa nani?” “…