SORRY MADAM (96)

Zephiline F Ezekiel
SORRY MADAM (96)
JINA: SORRY MADAM Mwandishi: Eddazaria G Msulwa SEHEMU YA TISINI NA SITA ILIPOISHIA... Mama alumuambia fereva wake, akawasiliana na wezake waliopo kwenye gari moja ya mbele na nyingine gari moja lililopo nyuma yetu. Msafara ukabadilika kama alivyo sema mama, tukafika serena Hotel , nakupokelewa na wahudumu. Tukatafuta sehemu iliyo tulia na kaa mimi na mama, hata mlizi wake, wa kike aliamua kukaa mbali kidogo na ilipo meza yetu, asisikie tunacho kizungumza. NIPE SAPOTI KWA KUTAZAMA VIDEO HII NDIO MALIPO YAKO KWANGU SASA ENDELEA... "Heee una lipi la kuzungumza?" "Mama, ninaamini kwamba nilisha wahi kukukosea mimi kama mwanao wa pekee." "Ila uliweza kunisamehee, kwani mtoto kwa mama, hua akui. Kama tunavyo sema sisi waswahili " "Ndio mwanangu, nalitambua hilo" "Màma, kunakitu ninahitaji nikuombe?" "Omba tu mwanangu, usipo niomba wewe ni nani atakaye niomba mwengine" Nikashusha pumzi tataribu, huku nikitazama chini, kwani hata ujasiri wa kumtaz…