BABU MWENYE NYUMBA (1)

Zephiline F Ezekiel
BABU MWENYE NYUMBA (1)
JINA: BABU MWENYE NYUMBA Mwandishi: Geofrey Mustafa SEHEMU YA KWANZA Ilikuwa ni ndani ya Mkoa mpya wa Njombe katika kijiji cha Iditima shule ya msingi Iditima ambako Kadodo alikuwa anamaliza Field yake ya ualimu aliyekuwa amepangiwa kufanya, alishukuru MUNGU kisha akarudi zake njombe mjini kuendelea kufanya mipango ya harusi. Kwakuwa alikuwa ni Kijana mchapa kazi licha ya usomi ivyo haikumsumbua sana ile harusi yake. Aliuza marage gunia Kama tano ivi kisha akaongeza na pesa zingine toka kwa ndugu na marafiki nakufanikisha kufunga ndoa kubwa na iliyofana, Lakini kitu cha pekee ambacho Kadodo hakutegemea kabisa katika ile harusi ni pale ambapo wazazi wa pande zote mbili walipokuja na zawadi babukubwa yani ilikuwa ni gari jipya kabisa aina ya Prado .. !!! KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE KAMA UNASOMA SIMULIZI HII NJE YA APPLICATION YA CnZ Media BASI INSTALL ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA 👈 Alifurahi Sana Kadodo huku akimwambia mke wake kuwa angalia jinsi wazazi wetu wanavyo tujali mk…