Notifications
  • MY DIARY (37)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA SABATULIPOISHIA...Hapo alitulia tulii kama mtu aliyeaamia dunia ingine. Kimoyo moyo nikawa najisemeha kama amehamia dunia ingine na kuanza kuwaza ujinga sahuri yake mimi nipo kazini bwana acha nitafute hela. Ndio ni lazima nifanye kazi kwa utaalamu na utundu wa hali ya juu ili waendelee kusimuliana huko mjini ili niendelee kupata hela.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Wewe…
  • MY DIARY (36)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA SITATULIPOISHIA...Sasa wewe fikiria mimi niliyeletewa zawadi sikujua ni zawadi gani lakini yeye tayari alishafungua na kuchungulia na kujua nini kilifungwa huko ndani.Basi nikaendelea kumuhudumia yule mama huku na yeye akiniambia kuwa itabidi nikimmaliza hizo zawadi tusifungue hapo hapo na waniimbie wimbo wa happybirthday.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Tuliendelea na stori mbili…
  • MY DIARY (35)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TANOTULIPOISHIA...Tatu niliambiwa kuwa ndugu zake na wazazi wake walihusika kwenye mipango hiyo hivyo walibariki kabisa huyo binti kuniacha mimi mumewe wa ndoa na kuamua mtoto wao aolewe upya. Nne ni kwamba huyo mzungu amewaamishia wazazi wake mjini na amewajengea nyumba ya kifahari.Kwa hiyo mimi ninavyowapigiana simu na kuwajulia hali kumbe wenzangu huwa wananichora tu.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (34)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA NANETULIPOISHIA...Hapo nikakumbuka kuwa zile zana zangu za kazi nilikuwa nazo ni vile vifaaa vya kupimia ukimwi ambavyo huwa navitumia kabla ya kukutana na mwanaume yeyote nisiyemfahamu. Nikaamua kumkubalia huku nikiamini kuwa hiyo ndo kinga yangu pekee iliyobaki kama mwanaume huyo atataka kuzini na mimi usiku huo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi tuliondoka na kwenda sehemu…
  • MY DIARY (33)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA TATUTULIPOISHIA...Nilikuwa nachanganya staili za kijamaika na hizi za kwetu, sikuacha pia zile za Nigeria hapo nikapata vitu vyangu vya tofauti kabisa. Basi baada ya kujihakikishia kuwa nipofiti kwa mastahili yangu hayo nilisubiri siku ya shindano ifike nikafanye yangu. Siku ya shindano ilifika na mimi nilikuwa miongoni mwa washiriki walioingia tatu bora.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (32)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA MBILITULIPOISHIA...Lakini kuchepuka kwangu na kuingia mgombani haikumaanisha kuwa sheria ingeniacha hivi hivi.Ilifika mahali ikabidi nizime gari na kutulia tulii kusikilizia nini kitafuata.Tayari nilikuwa nimezungukwa na mapolisi ambao walikuwa wakinifuatilia kwa kutumia pikipiki.Kwa bahati nzuri dereva wa lile gari na yeye alishafika hapo na alishawaambia polisi kuwa mimi naugua ukichaa na nilifufuka kutoka mochwari.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA…
  • MY DIARY (31)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINI NA MOJATULIPOISHIA...“marehemu pia alinieleza kuwa ana miliki duka la vitu vya urembo wa kike ambalo pia Leah analisimamia ila hilo apewe mdogo wake Marry ambaye yupo hapa. Mama mdogo huyo mara baada ya kuyasema hayo alikaa zake chini. Baba mdogo ambaye hakurizika na maelezo hayo alisimama na kusema “kwa hiyo kama marehemu alijua kuwa atakufa hivi karibuni kwani nini hakufuata taratibu za kisheria za kuandika wosia na kurithisha mali.IKIWA UNASOMA…
  • MY DIARY (30)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA THELATHINITULIPOISHIA...Baada ya hapo Nnilimwomba mama mdogo ajikaze na kuwatarifu ndugu wengine habari hizo za msiba.Tulisaidiana hivyo hivyo maana sio siri kila mmoja alikuwa na uchungu sana kutokana na mazingira ya kifo hicho. Habari zilizidi kusambaa kwa kasi na majirani walianza kukusanyika hapo kwa mama mdogo.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Msiba ni msiba tu na ukitaka kujua binadamu…
  • MY DIARY (29)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA TISATULIPOISHIA...Hapo sasa nikazidi kuchanganyikiwa ikabidi nimuulize mama huyo alikuwa akifanyia shughuli zake za kujipatia kipato sehemu gani.? Yule dada akanambia kuwa anafanyia soko la ndizi huko Korongoni. Sikuwa na jinsi nilimuomba anipeleke lakini na yeye alisita sita kwa madai kuwa alikuwa na kazi nyingi za kufanya na bado anatakiwa ampeleke mtoto shule.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA…
  • MY DIARY (28)
    Jina: MY DIARYMtunzi: __SEHEMU YA ISHIRINI NA NANETULIPOISHIA...Sisi tumesomea mambo haya bhana waliendela kuzungumza wale walinzi huku wakishuka ngazi kwa polepole. Hapo na mimi nikawa nimejifunza kitu kuwa kumbe unaweza kuingia na mtu guest akakuzuru kisha akaondoka zake.Sasa sijui kwenye zile guest zetu za uswahilini kama wanalijua hili.IKIWA UNASOMA SIMULIZI NJE YA APP YA CnZ Media IPAKUE ILI USIPITWE NA SIMULIZI👉INSTALL👈TUENDELEE...Basi nilala japo usingizi ulikuwa hautaki kuja kwa…

BABU MWENYE NYUMBA (1)

Mwandishi: Geofrey Mustafa

SEHEMU YA KWANZA
Ilikuwa ni ndani ya Mkoa mpya wa Njombe katika kijiji cha Iditima shule ya msingi Iditima ambako Kadodo alikuwa anamaliza Field yake ya ualimu aliyekuwa amepangiwa kufanya, alishukuru MUNGU kisha akarudi zake njombe mjini kuendelea kufanya mipango ya harusi. Kwakuwa alikuwa ni Kijana mchapa kazi licha ya usomi ivyo haikumsumbua sana ile harusi yake. Aliuza marage gunia Kama tano ivi kisha akaongeza na pesa zingine toka kwa ndugu na marafiki nakufanikisha kufunga ndoa kubwa na iliyofana, Lakini kitu cha pekee ambacho Kadodo hakutegemea kabisa katika ile harusi ni pale ambapo wazazi wa pande zote mbili walipokuja na zawadi babukubwa yani ilikuwa ni gari jipya kabisa aina ya Prado.. !!!

KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE KAMA UNASOMA SIMULIZI HII NJE YA APPLICATION YA CnZ Media BASI INSTALL ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI
👉GUSA HAPA👈

Alifurahi Sana Kadodo huku akimwambia mke wake kuwa angalia jinsi wazazi wetu wanavyo tujali mke wangu, naye mkewe akamwambia yani ata Mimi siamini hii surprise mmmh!
Basi baada yakumaliza kufunga pingu za maisha ambazo walizifanya kiasili zaidi, ndipo sherehe zikaamia ukumbini sasa, na walitumia ukumbi wa Mkwawa Hall park watu waliselebuka mpaka basi, kitu cha pekee ambacho Kadodo hakuingia ghalama yoyote ni upande wa vinywaji. Maana kila mlikuja na Ulanzi wake...!! Palikuwa na kreti Kama Sita ivi tatu za bia na tatu za soda..!!
Basi MC ambaye pia ni mtangazaji wa Radio maarufu sana hapa Njombe inaitwa Up Len's FM alikuwa anaitwa MC Lukwale.

Basi akawauliza wageni waalikwa:
"Ndauli Vayangu..? Ngita si mwinywa Soda ni Bia.?? (Vipi jamani, mbona hamnywi soda na bia.?) Aliuliza MC Lukwale baada yakuona watu wanayapita makreti ya vinywaji ivyo Kama hayaoni vile, yani hawana habari kabisa.
Basi wakamjibu; "Nefye twinywa wulansi..!!" (Sisi tuna kunywa Ulansi)
Basi MC Lukwale akacheka sana huku akiendelea kuweka Mixing zakutosha.
Basi baada yakumaliza harusi na sherehe, maisha yao yakaendelea Kama kawaida kwa furaha na Amani kabisa. Kadodo akiwa ana miezi kadhaa tangu amalize Field yake, ndipo akapa shule moja yakufundisha Mkoani Dar es salama. Basi kwakuwa ilikuwa ni sehem ya kazi ambayo ndio kasomea ikabidi akubali kuamisha majeshi nakulivamia jiji.

Basi alifika jiji dar es salam akiwa peke yake lengo nikuangalia mazingira na mahali ilipo iyo shule, shule ilikuwa ni Makuburi Primary School. Kibaya zaidi hapakuwa na kota za walimu, ivyo ni lazima mwalimu atafute nyumba yakupanga mwenyewe..! Kadodo hakujali maana ndio Selikari zetu bhana, Basi akawa hanabudi kuanza kutafuta chumba huku na kule huku akiwatumia na Madalali pia.
Basi baada yakutafuta sana chumba atimaye akapata maeneo ya Mabibo hostel, ilikuwa ni nyumba ya Mzee mmoja ivi ambaye alikuwa anaishi na familia yake aliamua kumpangishia Kadodo baada yakuomba sana, huku akisema Muda umeisha anatakiwa aanze kazi. Basi kwa uluma ndipo Mzee akampangisha chumba na sebule kwa laki moja kwa mwezi, ivyo Kadodo akalipa Lak sita keshi...huku Dalali akimpa laki moja, aliumia Sana kulipa pesa zote zile wakati kwao Njombe amejenga nyumba nzuri kabisa.

Basi baada yakumaliza kushughulikia mambo yote huku Dar ikabidi amfuate mke wake Sasa kule Njombe, alifika kisha akabeba kila kitu alichoona kina umuhimu kwake, waka waaga wazazi wao kaka na Dada, na safari yakuelekea dar ikaanza huku mke wake akiwa ana uchu mkubwa Sana wakuliona jiji la Dar.
Walifika ndani ya jiji la makonda saa kumi na mbili jioni.....!!
Lakini kabla hawana fungus mlango...!!!

Walifika ndani ya jiji la makonda mida ya saa tatu za usiku, kwakuwa walikuwa wamepanga jilani na Barabara nzuri ya mtaa hakupata tabu kubebelea mizigo yao toka kwenye gari. Waliibwaga tu kwanza ile mizigo ili wapumzike na mambo mangine yaendelee kesho. Asubuhi na mapema mke wa Kadodo ndio alikuwa wa kwanza kuamka akaanza kupanga viombo huku na kule aliweka kila kitu maahali pake kisha akaanza kumuandalia chai mume wake, akiwa anaanda chai mumewe naye aliamka akaja nakumbusu mkewe huku akimuuliza Vipi unajisikiaje mke wangu Groly, umeipenda hali ya hewa ya huu mji..??

Mkewe kwa madaha akamjibu ndio Mme wangu, kumbuka nilikuahidi ntaishi na wewe kwa shida na raha kwa baridi na joto. Sasa unadhani ni kipi kinanifanya nitengane na wewe zaidi ya kifo tu...!!
Basi Kadodo alifarijika sana kusikia maneno mazuri na yenye kutia moyo Kama yale, akajiona kweli kapata mwanamke wa maisha.
Basi maisha yaliendelea Kama kawaida huku Groly ambaye ndio mke wa Kadodo akiwa amesha anza kuwa mwenyeji Kama unavyo wafahamu hawa wenzetu sio Kama sisi wanaume, Yule Mzee mwenye nyumba alikuwa ana watoto wengi tu, lakini walikuwa tayari wamesha kuwa na familia zao yani wameoa nakuolewa. Na wale ambao ni wadogo zaidi walikuwa wapo shule tena international zile Nursery school, ivyo kurudi nyumbani ni mpaka likizo tu. Kutokana na hali iyo Mzee alikuwa anaishi yeye na mke wake tu. Pamoja na wafanyakazi wao yani house girl pamoja na Kijana aliyekuwa anasimamia ng'ombe tu.

Kwaiyo Mzee aliamua kuwapangishia wakina Groly na mumewe ili angalau mji wake uchangamke kidogo.
Basi kwakuwa Groly hakuwa na mtu wakupiga naye story za hapa na pale ikabidi awe anakaa ndani muda mwingi akiangalia movie tu mpaka mumewe atakapo rudi toka kazini, hali iyo ikamboa sana Groly mpaka akamwambia mume wake, basi Kadodo akamuomba Mzee kuwa yule binti wao wa ndani awe anapiga piga story na mke wake akiwa hana kazi, Mzee wala akukataa akasema hapana shuku Kijana waache tu wawe wana dhungumza pamoja.

Basi maisha yakaendelea ikafika wakati Groly anamsaidia Yule House girl kuosha viombo mladi apate nafasi waende kutembea mitaa ya pale Hostel Yeye Groly alikuwa anapenda sana. Kitu pekee ambacho Groly alianza kubadilika baada yakufika dar ni aina ya uvaaji wake. Alikuwa anavaa nguo nyepesi na magauni yani madela...!! Sio kwamba alikuwa ni Malaya hapana, ila joto la dar lilimshinda kabisa. Ebu vuta picha ile baridi ya kule Njombe alafu ghafla tu kaletwa dar mbona ni shida.

Basi kila anapokuwa anongea na yule House girl Babu mwenye nyumba alikuwa akimuangalia kwa jicho la kiwizi wizi hatari, Groly alikuwa ni binti wa miaka ishilini na Sita alikuwa ni binti wakihehe aliyekulia katika familia yenye maadili mazuri ivyo alikuwa na heshima sana mpaka Babu mwenye nyumba akatamani angekuwa Mkwe wake.

Babu alishaanza kumtamani sana Groly ila tatizo ni umri alafu jinsi binti mwenyewe anavyo jieshimu na kuwaeshimu kama wazazi wake vile hapo ndio palikuwa pana mpa ugumu Mzee Baruani..!!
Basi siku moja Kadodo aliporudi toka kazini akamwambia Groly kuwa kuna nafasi za ajira zimetoka nazo ivyo Groly anatakiwa aende huko asubuhi akajaribu bahati yake. Groly alikuwa na Degree yake ya Udaktari aliyoipata pale Mkwawa University, kwaiyo alifurahi Sana kusikia taarifa izo maana alikuwa Mama wa nyumbani tu wakati ana elimu yake yakutosha kabisa kumzidi ata mume wake Kadodo.

Kwa bahati nzuri alifanikiwa kupata kazi, ilikuwa ni Hospital binafsi ilipo pale Stand ya mkoa Ubungo wengi upaita UBT yani Ubungo Bus Terminal. Basi Groly akaanza lasmi kufanya kazi Arafa Dispensary iliyokuwa jilani kabisa na Hotel kubwa sana ya Mic Hotel, baada ya Mzee kupata habari kuwa Groly kapata kazi roho ilimuuma Sana..! Lakini hakuvunjika moyo. Basi usiku mmoja Mzee alikuwa ametoka zake msikitini kupiga azana alipopita jilani na chumba cha kina Kadodo ndipo akanasa Kama kashikwa na umeme baada yakumsikia Groly akilalamika kuwa anahitaji kutiwa bado alafu mume wake tayari kamaliza...!! Alilia sana Groly akisema:
"Mume wangu mbona upo busy Sana na kazi, mpaka unashindwa kunitendea Mimi haki jamani Baba...!!"

Lakini Kadodo alikuwa kimya tu, Lakini baada yakuona Groly anaendelea kulalamika, basi akamwambia; "Groly naomba unyamaze haraka Sana, Kama ni mapenzi tutafanya Sana tu mke wangu kumbuka bikra yenyewe nimekutoa ivi karibuni tu kwaiyo acha kulaumu laumu.
Basi Groly akajibanza zake pembeni ya kitanda kimya, Mzee Baruani Sasa huku nje alipoona wakina Kadodo wametulia tulii.akaamua kuondoka zake huku kanzu yake imetuna balaa eneo la kijiji..!! Akaona bora akapunguze mzuka kidogo kwa mke wake wakati anaendelea kupanga jinsi yakumnasa Groly binti ambaye Babu mweye nyumba aligundua kuwa katiwa na MTU mmoja tu ambaye ni Kadodo, tena sio kumtia bali kumtia shombo....!!
Sasa ngoja nimpe mambo ya pwani...!!!

Ilikuwa tayari siku ya Pili ambapo Kadodo ndio uwa anakuwa wa kwanza kuondoka na mala kwa mala uwa anatembea tu kwa miguu, maana hakuwa mbali Sana na shule anayo fundisha. Basi wakati Kadodo anatoka kuoga akamkuta Mke wake yani Groly akiwa anadeki, ilikuwa ni saa kumi na mbili iyoo. Kadodo akawaza sana akamuonea uluma mke wake, maana Kama kazi wote wanafanya...!

Basi akamwambia tena kwa upole;
"Mke wangu Groly, naomba nikusaidie kudeki ili uenda kujiandaa kuelekea kazini...!!"
Yalikuwa ni maneno ya kishujaa na yenye kumfariji mwanamke muelewa, Groly alijua kweli anachelewa kazini.. Lakini akamjibu;
"Hapana Mme wangu, hii bado ni kazi yangu nikiwa Kama mke wako, siwezi kukudekisha wewe eti kwa sababu wote tunafanya kazi..!! Nakupenda Sana nakukuheshimu Mme wangu Kadodo wala usijali kwa ilo..!"

Basi Kadodo akavaa zake na ilikuwa tayari saa moja na nusu, baada yakumaliza kuvaa akambusu Groly wake kisha safari ya kazini ikaanza. Basi wakati Kadodo anaondoka tu yule binti wa kazi akaja kwa Groly;
" Mambo Dada Groly"
Groly akamjibu huku akiwa yupo busy Sana, basi yule House girl kuona vile ikabidi aseme tu kilicho mleta pale asubuhi asubuhi vile;
"Dada Groly, Babu kasema leo uwahi kurudi nyumbani eti.. !!"
Groly akashangaa kusikia vile, ikabidi aulize;
"Kuwahi kurudi...!! Mbona sikuelewi Mdogo Wangu ata kidogo..!!??!??"

Basi yule House girl kuona maswali yamemzidi, ikabidi aende kumpa taarifa aliye mtuma kuwa mambo magumu;
"Babu Mimi nimeshindwa kumfafanulia Dada!"
Kumbe house girl alitumwa na Babu, basi Babu akamwambia huku akionekana amejaa uchu:
" Umeshindwa nini wewe...!? Aya rudi haraka, kamwambie kuwa Bibi yako anakuhitaji leo baadaye ivyo jitahidi...! Aya kimbia.."

Basi yule House girl akaenda haraka, akamuona Groly ndio anaingia kwenye Bajaji ambayo ndio huwa inambeba kila siku.
"Dada... Dada Groly....?"
Basi Groly akachungulia akamuona house girl, akamwambia dereva Bajaji asubiri kidogo.
"Vipi tena Mdogo Wangu..?"

USIIKOSE SEHEMU INAYOFUATA
KWA KUTUMIA AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK, LIKE UKURASA HUU USIPITWE NA SIMULIZI NA MENGINE HUKO FACEBOOK

KWA KUWA NAKUPA SIMULIZI BURE TAZAMA VIDEO HII KAMA MALIPO YAKO KWA KAZI NINAYOIFANYA

KWA TELEGRAM👇BONYEZA HAPA
42 Babu Mwenye Nyumba featured Simulizi
Jiunge kwenye mazungumzo
Chapisha Maoni