BABU MWENYE NYUMBA (12) JINA: BABU MWENYE NYUMBA Mwandishi: Geofrey Mustafa SEHEMU YA KUMI NA MBILI ILIPOISHIA... Basi akaketi kwenye sofa nililokuwa nimekaa Mimi maana Mzee alikuwa amekaa kwenye sofa la mtu mmoja, nilikuwa namuona kabisa mume wangu kuwa kachukizwa na hali ile yakumkuta yule Mzee hapa ndani ila ndio ivyo ikabidi aichune tu hakuwa na jinsi. Basi tukasalimiana pale kwa kawaida tu kisha Mimi ndio nikajifanya kimbele mbele nikamwambia tena mume wangu; KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE KAMA UNASOMA SIMULIZI HII NJE YA APPLICATION YA CnZ Media BASI INSTALL ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA 👈 SASA ENDELEA... "Mume wangu Mzee alikuja kutusalimia maana kaona kimya Sana alafu sisi ni wapangaji wake." Mume wangu akasema; "Asante sisi wazima kabisa Mzee wangu" Kisha akawa anaendelea kuelekea chumbani, kisha sekunde chache tu akalejea nadhani alikuwa kapeleka documents zake za kazi. Kisha akasema "Karibu Mzee wangu" Mzee hakujibu kitu ila Mimi nilidakia nakumwambia mume wangu; …