BABU MWENYE NYUMBA (13)

Zephiline F Ezekiel
BABU MWENYE NYUMBA (13)
JINA: BABU MWENYE NYUMBA Mwandishi: Geofrey Mustafa SEHEMU YA KUMI NA TATU ILIPOISHIA... Nikiwa nimejisahau kidogo mala nikaiona gari ya Daktari mkuu ikiondoka, nikashtuka nikaicheki saa yangu ya mkononi kumbe ilikuwa tayari ni SAA kumi na dakika zake.. Basi nikaenda mpaka ofisini nikasaini kisha uyoo nikaanza kusepa zangu. Siku iyo nilichukua pikipiki ili niwahi kufika maana Bajaji niliona Kama itanichelewesha vile.  KABLA HATUJAENDELEA NIOMBE KAMA UNASOMA SIMULIZI HII NJE YA APPLICATION YA CnZ Media BASI INSTALL ILI USIPITWE NA MIENDELEZO KWA WAKATI 👉 GUSA HAPA 👈 SASA ENDELEA... Nilifika nyumbani nikaangalia kulia na kushoto sikuona mtu,nadhani wote wapo ndani maana sikuizi hapa dar kuna jua hatari jua la saa kumi bado Kali utadhani ni saa Sita au saa nane vile. Bila kuchelewa nikafungua mlango huku nikiugonga gonga makusudi kabisa ili Kama Babu kajilaza asikie ajue kuwa sukari yake nimerudi tayari akuje kuondomola utamu. Basi nikafungua mlango kisha nikaenda moja kwa moja mpaka kwenye sofa la…

Maoni 2

  1. Bila jina
    Nbvc
    1. Zephiline F Ezekiel
      Karibu